Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.
Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana.

Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya wife.

Soma: Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Pia nikaleta huu: Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

Sasa ni hivi, kwakifupi ni kwamba, baada ya wife kuamua kuondoka nyumbani, nikamtafuta mara kadhaa simu zikawa hazipokelewi, basi na mimi nikaamua kupiga kimyaa tu.
Si kupiga simu wala kutuma message.

Katika mazingira hayo, ya kutowasiliana, yeye akiwa kwao huko mitaa ya Boko, mimi nikaanza kupokea "samansi" kupitia ngazi za serikali.

Nikapelekwa dawati la jinsia polisi
Nikapelekwa baraza la kata
Nikaitwa kikao cha familia

(Koote huko, ni yeye, na msimamo wangu ulikua, kutafuta suluhu maisha yaendelee ila mwenzangu akagoma na kusisitiza dai la Talaka)

Nikaitwa tena polisi na kutiwa lockup
NIkatolewa kwa dhamana.
Niliporudi home nikakuta kahamisha karibia 50% ya kila kitu mle ndani, ikiwemo vitu vyake na vya watoto wetu wanne vyooote.

Nikafuatilia na kugundua kule baraza la kata ameshachukua form no.3 kwaajili ya kufungua shauri la talaka mahakamaani

Kipindi hiki chooote ni yeye anacheza offensive game ya kuniburuza namna hiyo anavyotaka, mimi nimetulia kwenye mode ya Deffensive game. Sitaki kushindana na mama watoto, hasa ukizingatia aliondoka na watoto.

Nikaona isiwe kesi, huyu mama kweli kadhamiria kuni destroy.

Ikumbukwe kuwa muda wote huo , niko busy na shughuli zangu za kibiashara na kusafiri mikoani, hivyo nalazimika kusitisha kazi na kuja kuitika wito mpaka nawekwa ndani, na kipindi hiki chote niliamua kuacha nyumba na kuhamishia makazi mwanza. Home pakawa pamebaki hapana mtu.

Baada ya muda nikapata wito wa mahakama, wife kafungua kesi ya kutadai talaka.

MImi nimetulia zangu tu wala sishindani naye.
Kila anachofanya, mimi napambana nacho, nachomoka, simtumii text, wala kumpigia kusema labda kumlaumu,au kumtishia au kumuomba msamaha aachane na hizi ishu, au kusalimia watoto, nimekaa kimyaa tuuu.

Mawazo nikaona yananizidia, nisije changanyikiwa, nikarudi nyumbani nyanda za juu kusini kwa baba na mama. Hii kwa kiasi kikubwa ikanisaidia.

ONA SASA,

Sasa week hii karibia na kesi, nikasafiri kurud Dar, kwakua nilikua na majukumu ya kikazi, nikaona isiwe tabu, nikatafuta taarifa za pale nyumbani panaendeleaje ? Nikamtafuta mtu wa jirani, akafika home akakuta pamevunjwa geti na nilimpomsihi anisaidie kuingia ndani na kukagua, akakuta 95% katika vitu vilivyobakishwa na wife alipotoroka nikiwa lockup, pia vimeibiwa.

Basi nilipomalizA majukumu yangu, nikaona nipite pale home, kisha nikaenda ku report polisi juu ya tukio, maana nikawaza, wife kafungua kesi ya talaka na moja ya madai yake ni mgawanyo wa mali kwa maana ya nyumba, sasa japo sikua na hamu tena na chochote juu ya mali, nikataka nipotezee tu hata nisifike home ila nikaona hii isije niletea shida kwenye kesi ya mgawanyo wa mali ikaonekana mimi kwa namna moja au nyingine nime temper na mali ambazo kesi ya wife inataka zigawanywe baada ya talaka.

Nikaona acha nipeleke taarifa niwe katika safe side.

Baada ya kumaliza ku report nikarudi tena nyumbani, na kushuhudia hali halisi, baada ya hapo, nikamuita kijana mmoja jirani yangu, nikamwambia achukue kila kitu kilichobaki mle ndani ambavyo wezi waliviacha.
Vitu vile vikubwa kubwa kama makabat na furniture ,na baadhi ya vyombo. Nikamwambia avichukue tu, nimempa, maana hawa wezi wanaweza wakarud tena wakaiba, hivyo bora jirani unufaike wewe ninayekujua. By the way sina mpango tena wa kurud kufanya maisha hapa.

Tukaachana nikaondoka kurudi hotel niilipofikia kusubiri siku ya kesi mahakamani maana imekaribia.

Sasa kitu cha kushangaza ni kwamba, yale niliyokua najiuliza na ku assume kichwani, ndiyo hayo hayo alikua akiyafikiri yule askari aliyenichukua maelezo. Maana yeye siku natiwa lockup na wife, yeye alikuwepo mpaka siku natoka, so mgogoro wetu anaujua.

Akaniuliza katika maelezo "je, katika tukio hili, unamtuhumu nani?".

Nikajibu "simtuhumu mtu wala sijui ni nani aliyetenda"

Akafunga maelezo na kufungua jalada kisha kunipa RB yangu.
Ila "off record" akaniambia " laiti kama mimi ningekua mpelelezi wa kesi hii, ningemtia hatiani mke wako kama mtuhumiwa namba 1"

Nikasema "hapana mimi sifahamu".
Japo kiukweli, ninasukumwa kuamini hili.

Ninaamini kabisa, wife amefikia hatua mbaya sana ya chuki juu yqngu na anajaribu kuni provoke indirectly na kuni push nichukue hatua ngumu, baada ya kuona kila chokochoko zake, mimi naamua kuzipuuzia, na kuingia gharama ya kukubali maumivu anayonisababishia.

Ikumbukwe chanzo cha mgogoro mzima ni mimi kufumania picha zake za uchi akiwa katika safari ya kikazi nikamhoji, akani temea shit, nikamchapa. Ila ndio hivyo anakomaa kuvunja ndoa.

Wakuu, na hayo tu.
NIwatakie mchana mwema
Huo ndio uanaume mkuu. usi loose focus, huyo b*tch matokeo atayapata ni swala la muda tu.
 
Kipo kinachompa kiburii sio bure
 
Unastahili kabisa nafasi hiyo ya uraisi wa majobless

Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.

katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.

waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.

OIG4.jpeg
 
Sasa na wewe mambo ya kupiga wanawake ya nini sometimes akipandisha sauti bora uondoke ukakae sehemu hata wiki ndio urudi. Ona sasa unalala hoteli wakati una nyumba yako, si bora ungeenda huko hoteli wakati wa hasira mpaka ziishe?

Inaonyesha ulimpiga sana na usikute sio mara ya kwanza kumpiga.

Acha ndugu zake wamsapoti hata mimi sikubali umpige mtoto wangu kama kakuudhi njoo msemee nyumbani sio kumpiga; ukimuua je?
Acha ujinga mzee, Ila unasapot mtoto wako kwenda kutombwa nje ya ndoa na kujipiga picha
 
Wazee wa busara wa humu jamvini kaeni na mwanaume mwenzenu mpeni ushauri anapitia wakati mgumu...wanaume wengi hawapendi ligi na majibizano ila wanavumilia maumivu kwa ndani hasa dharau toka kwa mwanamke..

Upo sahihi kabisa.
Wamsaidie avuke salama.
Kama sikosei amedai ni mwenyeji wa Nyanda za juu kusini, kama ni mnyakyusa wanaume wa kinyakyusa walio wengi huwa hawapendi vurugu na hekaheka.

Msaidieni mdogo wenu.
 
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.
Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana.

Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya wife.

Soma: Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Pia nikaleta huu: Nini madhara ya Kutoonekana mahakamani katika kesi ya Ndoa?

Sasa ni hivi, kwakifupi ni kwamba, baada ya wife kuamua kuondoka nyumbani, nikamtafuta mara kadhaa simu zikawa hazipokelewi, basi na mimi nikaamua kupiga kimyaa tu.
Si kupiga simu wala kutuma message.

Katika mazingira hayo, ya kutowasiliana, yeye akiwa kwao huko mitaa ya Boko, mimi nikaanza kupokea "samansi" kupitia ngazi za serikali.

Nikapelekwa dawati la jinsia polisi
Nikapelekwa baraza la kata
Nikaitwa kikao cha familia

(Koote huko, ni yeye, na msimamo wangu ulikua, kutafuta suluhu maisha yaendelee ila mwenzangu akagoma na kusisitiza dai la Talaka)

Nikaitwa tena polisi na kutiwa lockup
NIkatolewa kwa dhamana.
Niliporudi home nikakuta kahamisha karibia 50% ya kila kitu mle ndani, ikiwemo vitu vyake na vya watoto wetu wanne vyooote.

Nikafuatilia na kugundua kule baraza la kata ameshachukua form no.3 kwaajili ya kufungua shauri la talaka mahakamaani

Kipindi hiki chooote ni yeye anacheza offensive game ya kuniburuza namna hiyo anavyotaka, mimi nimetulia kwenye mode ya Deffensive game. Sitaki kushindana na mama watoto, hasa ukizingatia aliondoka na watoto.

Nikaona isiwe kesi, huyu mama kweli kadhamiria kuni destroy.

Ikumbukwe kuwa muda wote huo , niko busy na shughuli zangu za kibiashara na kusafiri mikoani, hivyo nalazimika kusitisha kazi na kuja kuitika wito mpaka nawekwa ndani, na kipindi hiki chote niliamua kuacha nyumba na kuhamishia makazi mwanza. Home pakawa pamebaki hapana mtu.

Baada ya muda nikapata wito wa mahakama, wife kafungua kesi ya kutadai talaka.

MImi nimetulia zangu tu wala sishindani naye.
Kila anachofanya, mimi napambana nacho, nachomoka, simtumii text, wala kumpigia kusema labda kumlaumu,au kumtishia au kumuomba msamaha aachane na hizi ishu, au kusalimia watoto, nimekaa kimyaa tuuu.

Mawazo nikaona yananizidia, nisije changanyikiwa, nikarudi nyumbani nyanda za juu kusini kwa baba na mama. Hii kwa kiasi kikubwa ikanisaidia.

ONA SASA,

Sasa week hii karibia na kesi, nikasafiri kurud Dar, kwakua nilikua na majukumu ya kikazi, nikaona isiwe tabu, nikatafuta taarifa za pale nyumbani panaendeleaje ? Nikamtafuta mtu wa jirani, akafika home akakuta pamevunjwa geti na nilimpomsihi anisaidie kuingia ndani na kukagua, akakuta 95% katika vitu vilivyobakishwa na wife alipotoroka nikiwa lockup, pia vimeibiwa.

Basi nilipomalizA majukumu yangu, nikaona nipite pale home, kisha nikaenda ku report polisi juu ya tukio, maana nikawaza, wife kafungua kesi ya talaka na moja ya madai yake ni mgawanyo wa mali kwa maana ya nyumba, sasa japo sikua na hamu tena na chochote juu ya mali, nikataka nipotezee tu hata nisifike home ila nikaona hii isije niletea shida kwenye kesi ya mgawanyo wa mali ikaonekana mimi kwa namna moja au nyingine nime temper na mali ambazo kesi ya wife inataka zigawanywe baada ya talaka.

Nikaona acha nipeleke taarifa niwe katika safe side.

Baada ya kumaliza ku report nikarudi tena nyumbani, na kushuhudia hali halisi, baada ya hapo, nikamuita kijana mmoja jirani yangu, nikamwambia achukue kila kitu kilichobaki mle ndani ambavyo wezi waliviacha.
Vitu vile vikubwa kubwa kama makabat na furniture ,na baadhi ya vyombo. Nikamwambia avichukue tu, nimempa, maana hawa wezi wanaweza wakarud tena wakaiba, hivyo bora jirani unufaike wewe ninayekujua. By the way sina mpango tena wa kurud kufanya maisha hapa.

Tukaachana nikaondoka kurudi hotel niilipofikia kusubiri siku ya kesi mahakamani maana imekaribia.

Sasa kitu cha kushangaza ni kwamba, yale niliyokua najiuliza na ku assume kichwani, ndiyo hayo hayo alikua akiyafikiri yule askari aliyenichukua maelezo. Maana yeye siku natiwa lockup na wife, yeye alikuwepo mpaka siku natoka, so mgogoro wetu anaujua.

Akaniuliza katika maelezo "je, katika tukio hili, unamtuhumu nani?".

Nikajibu "simtuhumu mtu wala sijui ni nani aliyetenda"

Akafunga maelezo na kufungua jalada kisha kunipa RB yangu.
Ila "off record" akaniambia " laiti kama mimi ningekua mpelelezi wa kesi hii, ningemtia hatiani mke wako kama mtuhumiwa namba 1"

Nikasema "hapana mimi sifahamu".
Japo kiukweli, ninasukumwa kuamini hili.

Ninaamini kabisa, wife amefikia hatua mbaya sana ya chuki juu yqngu na anajaribu kuni provoke indirectly na kuni push nichukue hatua ngumu, baada ya kuona kila chokochoko zake, mimi naamua kuzipuuzia, na kuingia gharama ya kukubali maumivu anayonisababishia.

Ikumbukwe chanzo cha mgogoro mzima ni mimi kufumania picha zake za uchi akiwa katika safari ya kikazi nikamhoji, akani temea shit, nikamchapa. Ila ndio hivyo anakomaa kuvunja ndoa.

Wakuu, na hayo tu.
NIwatakie mchana mwema
Umefanya uamuzi WA kiume Sana mkuu shikilia hapo hapo usije kurudi nyuma.

Anyways : Msiwege mnaoa
 
TALAKA!UNAOGOPA KUITOA!

MIMI NAITOA TENA KWA LOUD SPEAKER!

MWANAMKE AKISHAAMUA KWAMBA WEWE NI KIKARAGOSI CHAKE HAWEZI KUKUHESHIMU NA KUKUONA WA MAANA HATA SIKU MOJA!

HUYO SIO FUNGU LAKO NA MUNGU AMESHAKUONYESHA!

MWANAMKE ANAEKUAIBISHA MBELE ZA WATU ILI UWE DUNI NA MJINGA HAFAI KUPEWA NAFASI TENA!!!

VUNJA NDOA,WATOTO NI WA MUNGU!HALAFU SERIKALI HALAFU MWANAMKE HALAFU NDIO WEWE YAANI WEWE NI NAMBA NNE KWENYE UMILIKI WA WATOTO NDIO MAANA SISI HUWA TUNAPENDWA NA WALAU MTOTO MMOJA TU PEKEE AU HAKUNA KABISA!!

AMEGUNDUA UDHAIFU WAKO NI WATOTO NA ATATUMIA KUKUTESA SANA!!

Wanaume tunaojali sana watoto Huwa tunateswa Sana na Hawa viumbe!yaani wanatumia udhaifu kukuumiza!

Ukifanikiwa kwenye hilo TU itakusaidia!!
 
Nakufuatilia tokea mwanzo
Nashangaa watu wanajadili migongano yenu hawajadili kabisa kitendo cha huyo mtu kuvunja nyumba, huyo kwa hapa mlipofika hashindwi kukutumia vibaka wakukatishe uhai au kukutilia sumu, hatakiwi kujua mwenendo wako hata kidogo na siku mkikutana mahakamani nenda na gari nyeusi na uondoke na gari nyeupe na usibaki hilo eneo
Kuhusu watoto usiingie kwenye mjadala wowote unaohusu watoto na usitoe hata mia mpaka mwaka upite au kama una huruma sana miezi sita ipite bila kufanya chochote, hii ni kwa usalama wako kwanza
 
kikubwa pigania watoto wote wakubwa wawe mikononi mwako ....kuhusu mdogo kama yupo ,mahakama ikupe ikupangie visiting day na matumizi ,tafuta wakili anayejitambua
Familia za kimaskini hapo wameshapiga hesabu ya Nyumba kuuzwa wapate pesa, kwaiyo wanafanya kila wawezalo la kuwakera ndoa ivunjike, Ndo maana wanasema nyumba lazima iuzwe
 
Hongera kwa hatua uliyopiga, kwenye maisha epuka kupambana na mwanamke kwa namna yoyote ile, sheria zimewapendelea sana wao. Nikushauri rudi dawatini ukakabidhi hiyo nyumba kimaandishi kwamba ni mke na watoto. Baada ya hapo kaendelee na maisha mengine, Mungu hata kuacha na utafanikiwa zaidi ya hivyo ulivyoacha leo. Muhimu tengeneza amani ya moyo wako,mtumaini na kumuomba Mungu siku zote za maisha yako,fanya kazi bidii na maarifa, inshalaah utafanikiwa. All the best chief.
Mimi n*aishi na mke wangu kidikiteta na maisha ya*asonga! Nyie wanaume matozi ndo hivyo mnaendeshwa na kyyumaa! Mimi ninavyotisha hata ukweni wananiogopa! Hii imenipa heshima nyumbani kwangu, mtaani hata kwenye mishemishe zangu! Siku hizi hakuna Wanaume! Kuna matoozii
 
New Single maza wa watoto wanne kitaani!

Ila lazima hiyo ndoa ilikuwa na hekaheka kibao kabla ya hilo tukio la kichapo!

Mwanamke kukubali kuwa single maza wa watoto wanne kirahisi vile siyo rahisi,tena kama ni below 40 ndiyo kabisa.

Hiyo picha ya uchi ni selfie au alikuwa na camera personnel?
 
Familia za kimaskini hapo wameshapiga hesabu ya Nyumba kuuzwa wapate pesa, kwaiyo wanafanya kila wawezalo la kuwakera ndoa ivunjike, Ndo maana wanasema nyumba lazima iuzwe
ndio msukumo wa nje ,binafsi najiendea mahakama ya mnyonge ...akitaka kupandwa tuu damu hiyo debe karibia lijae
 
Hongera kwa hatua uliyopiga, kwenye maisha epuka kupambana na mwanamke kwa namna yoyote ile, sheria zimewapendelea sana wao. Nikushauri rudi dawatini ukakabidhi hiyo nyumba kimaandishi kwamba ni mke na watoto. Baada ya hapo kaendelee na maisha mengine, Mungu hata kuacha na utafanikiwa zaidi ya hivyo ulivyoacha leo. Muhimu tengeneza amani ya moyo wako,mtumaini na kumuomba Mungu siku zote za maisha yako,fanya kazi bidii na maarifa, inshalaah utafanikiwa. All the best chief.
Hakika nimeipenda huu ushauri wako mkuu,mleta mada auzingatie huenda akasalimika
 
Back
Top Bottom