Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu dadavua kidogo hapomjini mipango mkuu,amini nakwambia mjini mipango.
Inaonekana mabao ya Yanga kwa Ali Kamwe ni zaidi ya bao la kitandani.Mhhhh, ya ukweli haya?
Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
Umeandika jambo kubwa sana.Hapa Yanga walitumia akili kubwa sana kumuweka manara pembeni, kwanza kumtoa kule kumleta huku kisha kumpiga superglue mdomoni
Upepo ndiyo huo umempata mwenyewe sio mashabikiMhhhh, ya ukweli haya?
Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
Kwa njaa ya sifa alizonazo Engeneer hilo sio jambo kulipuuzaHapo utopoloni hawachelewi kukupeleka futi sita ilimradi wapate matokeo. Awe makini
Sio Simba au zile 5 tayari zinatosha?Duuh jee wakimfunga mamelodi...
Ni mara ya kwanza tangu dunia kuumbwa . Ngoja wafurahi hadi kuzimia.Hivi hivi watu hua wanapata presha na kuondoka kimasihara sabab ya mpira wa simba na yanga
Vitu vingine watu wasiwe na mapenzi na timu yaliyopitiliza