Baada ya Yanga kufunga goli la nne, Msemaji wao Ally Kamwe azimia uwanjani; Apelekwa Hospitalini

Baada ya Yanga kufunga goli la nne, Msemaji wao Ally Kamwe azimia uwanjani; Apelekwa Hospitalini

Afisa habari ameifanya Yanga ipige hatua!!???
Kwenye nini!!??
Ama amesaidia uhamasishaji!!??
Mhhhh, ya ukweli haya?

Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
 
Mhhhh, ya ukweli haya?

Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
Manara ni un wanted au rejected!
Hakuna timu inamtaka ana hasara kuliko faida .
 
Afisa habari ameifanya Yanga ipige hatua!!???
Kwenye nini!!??
Ama amesaidia uhamasishaji!!??
Mkuu, hebu tuliza akili unisome vizuri. Hapo nilimaanisha amepata bahati kuwa msemaji wa Yanga wakati ambao timu inafanya vizuri.
Please!
 
Hivi hivi watu hua wanapata presha na kuondoka kimasihara sabab ya mpira wa simba na yanga

Vitu vingine watu wasiwe na mapenzi na timu yaliyopitiliza
Umesema kweli .....Huwa najitahidi sana kujicontrol maana ushabiki mpaka akili zinakutoka ni ................
 
Duuh jee wakimfunga mamelodi...
Kilichompeleka Hospital huyo ni kuzidiwa na ile dawa ya kuwapandisha na kuwavuruga akili Waarabu ili wawe na hasira . Alishiriki kupulizia kwenye basi lililo wabeba Wachezaji wa CR. Belouzidad
 
Mhhhh, ya ukweli haya?

Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
Manara ni mtu ya propaganda siyo afisa habari. Hajawahi kuwa mwanayanga yule. Ni sawa na kuamini kuwa slaa ni ccm
 
Back
Top Bottom