Baada ya Yanga kufunga goli la nne, Msemaji wao Ally Kamwe azimia uwanjani; Apelekwa Hospitalini

Robo fainali iheshimiwe..mliokua mnaibeza Simba kwa sasa nadhani akili zinaanza kukaa sawa...
 
Hivi hivi watu hua wanapata presha na kuondoka kimasihara sabab ya mpira wa simba na yanga

Vitu vingine watu wasiwe na mapenzi na timu yaliyopitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…