residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mhhhh, ya ukweli haya?
Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
Unataka kusemaje hapo?Duuh jee wakimfunga mamelodi...
Hebu oteaUnataka kusemaje hapo?
Uhamasishaji ndio moja ya hatuaAfisa habari ameifanya Yanga ipige hatua!!???
Kwenye nini!!??
Ama amesaidia uhamasishaji!!??
Atoe nini breach? Umesema atoe au atoe?Hebu otea
Sema baada ya kufuzu robo fainali
Manara ni un wanted au rejected!Mhhhh, ya ukweli haya?
Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
Ndo atakufa kabisaDuuh jee wakimfunga mamelodi...
Mkuu umewaza mbali sanamjini mipango mkuu,amini nakwambia mjini mipango.
Mkuu, hebu tuliza akili unisome vizuri. Hapo nilimaanisha amepata bahati kuwa msemaji wa Yanga wakati ambao timu inafanya vizuri.Afisa habari ameifanya Yanga ipige hatua!!???
Kwenye nini!!??
Ama amesaidia uhamasishaji!!??
Umesema kweli .....Huwa najitahidi sana kujicontrol maana ushabiki mpaka akili zinakutoka ni ................Hivi hivi watu hua wanapata presha na kuondoka kimasihara sabab ya mpira wa simba na yanga
Vitu vingine watu wasiwe na mapenzi na timu yaliyopitiliza
Kilichompeleka Hospital huyo ni kuzidiwa na ile dawa ya kuwapandisha na kuwavuruga akili Waarabu ili wawe na hasira . Alishiriki kupulizia kwenye basi lililo wabeba Wachezaji wa CR. BelouzidadDuuh jee wakimfunga mamelodi...
Manara ni mtu ya propaganda siyo afisa habari. Hajawahi kuwa mwanayanga yule. Ni sawa na kuamini kuwa slaa ni ccmMhhhh, ya ukweli haya?
Ila huyu jamaa amekuja na upepo Yanga? Tumepiga hatua kubwa sana akiwa afisa habari, angekuwa Manara sijui ingekuwaje!
Biashara ni watu VS mpira ni watu,(mashabiki) ama wanachamaAfisa habari ameifanya Yanga ipige hatua!!???
Kwenye nini!!??
Ama amesaidia uhamasishaji!!??