steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Hii chai kanywie vitumbua mjombanguSimba toka afike nusu fainali mwaka 72,makundi waliingia 2003,piga hesabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii chai kanywie vitumbua mjombanguSimba toka afike nusu fainali mwaka 72,makundi waliingia 2003,piga hesabu
Bloangu kati ya Simba na Yanga jana nani kacheza na timu ya kiushindani tukiacha mahaba niue?Nina wasiwasi mkubwa kuhusu timu ya simba kuvuka hatua ya robo fainali iwapo watacheza ule mpira waliocheza jana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.
Kwa upande wa Yanga sina wasiwasi hata kidogo. Hawa jamaa wanaweza kufanya makubwa tena msimu huu. Kasoro yao kubwa iko kwenye striking force yao tu, ambayo bado haina utulivu wa kutosha.
Hahahaaa. Lol.Nashukuru umewanyoosha
Takwimu za NGO hizo ndizo zinazopendwa na Gongowaz fc,huwezi kuta takataka hizo CAF na FIFA1998, 1999, 2000, 2001, 2002, 2003,2004, 2005, 2006,2007,2008,2009,2010,2011,2012, 2013,2014,2015,2016,2017,2018,2019,2020,2021, 2022,2023 kukaribia kushiriki tu tayari ni club ya 3 kwa ukubwa Africa. View attachment 2752287
Sasa hao Power Dynamos si ndiyo mlicheza nao kwenye tamasha lenu la simba day!! Wana maajabu yoyote yale mpaka ibakie kidogo tu kuwalaza ile jana?Bloangu kati ya Simba na Yanga jana nani kacheza na timu ya kiushindani tukiacha mahaba niue?
HahahaTakwimu za NGO hizo ndizo zinazopendwa na Gongowaz fc,huwezi kuta takataka hizo CAF na FIFA
Kati ya 70s na 2003 Simba kafika makundi Mara ngapi!?Hii chai kanywie vitumbua mjombangu
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa.Simba toka afike nusu fainali mwaka 72,makundi waliingia 2003,piga hesabu
Kuna mghawa humu?Umekula lakini?.
Unaamin Simba itaitoa Power Dynamo?Nina wasiwasi mkubwa kuhusu timu ya simba kuvuka hatua ya robo fainali iwapo watacheza ule mpira waliocheza jana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.
Kwa upande wa Yanga sina wasiwasi hata kidogo. Hawa jamaa wanaweza kufanya makubwa tena msimu huu. Kasoro yao kubwa iko kwenye striking force yao tu, ambayo bado haina utulivu wa kutosha.
Naamini kwa 💯%. Ila kwenye kuvuka hatua ya makundi, aisee labda wabadilike kiuchezaji.Unaamin Simba itaitoa Power Dynamo?
Sawa wacha tuone itakuaje kwangu naona game bado ngumu hii....Naamini kwa [emoji817]%. Ila kwenye kuvuka hatua ya makundi, aisee labda wabadilike kiuchezaji.
😂😂😂😂😂Nina wasiwasi mkubwa kuhusu timu ya simba kuvuka hatua ya robo fainali iwapo watacheza ule mpira waliocheza jana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.
Kwa upande wa Yanga sina wasiwasi hata kidogo. Hawa jamaa wanaweza kufanya makubwa tena msimu huu. Kasoro yao kubwa iko kwenye striking force yao tu, ambayo bado haina utulivu wa kutosha.