Baada ya Yanga kutinga makundi mwaka 1998, iliwachukua miaka mingapi Simba kutinga hatua ya makundi CAFCL?

Bloangu kati ya Simba na Yanga jana nani kacheza na timu ya kiushindani tukiacha mahaba niue?
 
Bloangu kati ya Simba na Yanga jana nani kacheza na timu ya kiushindani tukiacha mahaba niue?
Sasa hao Power Dynamos si ndiyo mlicheza nao kwenye tamasha lenu la simba day!! Wana maajabu yoyote yale mpaka ibakie kidogo tu kuwalaza ile jana?

Na kuhusu Yanga, lazima utambue fika Al Merreikh ni timu kubwa hata kama inapitia kipindi kigumu kwa sasa kutokana na machafuko nchini kwao. Huwezi kuilinganisha na Power Dynamos.
 
2003 baada 5 yrs. Alafu wakarudi 2018 after 15 yrs. 2023 5 yrs baada ya Simba sc kufuzu mara ya pili, Yanga sc possibly akafuzu kwa mara ya pili.
Angalizo: wakati ule Yanga sc anafuzu kwa mara ya kwanza, makundi yslikuwa mawili yenye timu nne kila kundi, maana yske Yanga sc ilikuwa miongoni mwa timu nane bora kwa mashindano hayo na wakati huo. Tuombe Mungu mwaka huu tuingie makundi na ikimpendeza Mungu tufike hatua za juu kama ilivyokuwa msimu jana kwenye CAFCC.
 
Jamani ! Jamani !Njooni muone , uto anapigana na kivuli chake.
 
Unaamin Simba itaitoa Power Dynamo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…