playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
...Kitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
View attachment 1909327
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Kitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
View attachment 1909327
Frank jezi zinapatikana wapi, nimeenda GSM msasani na sinza hakuna jezi
Pale makao makuu kwenye duka pia hakuna?Frank jezi zinapatikana wapi, nimeenda GSM msasani na sinza hakuna jezi
Nenda pale Pugu Road GSM Mall zipo,leo nimezipata pale. Hata pale Jangwani Makao Makuu zipo japokuwa kuna jam kubwa sana.Frank jezi zinapatikana wapi, nimeenda GSM msasani na sinza hakuna jezi
Jezi za simba ya 24. Ila hzo zszo na MATANGAZO timu ya mwisho AfricaJezi ama matangazo ya biashara?
Amependeza sana, ageuke tumwone.
Unamwita Mwanaume mwenzako Mrembo??? Uvumilivu umeanza kuwashinda mapema sana Mikia kabla shughuli yenyewe haijaanzaAmependeza sana, ageuke tumwone.
Kweli uto ni warembo sana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimepata pale jangwani, ila sijui nimepigwa, jezi zenye kola zinauzwa elfu 40, mimi nilitaka kit ya ugenini na nyumbani but zimeishaNenda pale Pugu Road GSM Mall zipo,leo nimezipata pale. Hata pale Jangwani Makao Makuu zipo japokuwa kuna jam kubwa sana.
Pole na hongera sana. Ndio bei yake hiyo, Jezi za Home and Away zimechukuliwa zote na walanguzi hasa wa mikoani.Nimepata pale jangwani, ila sijui nimepigwa, jezi zenye kola zinauzwa elfu 40, mimi nilitaka kit ya ugenini na nyumbani but zimeisha
Hongera sana kwa kuchangia mapato ya Team yako..Nimepata pale jangwani, ila sijui nimepigwa, jezi zenye kola zinauzwa elfu 40, mimi nilitaka kit ya ugenini na nyumbani but zimeisha
Vunja bei ajiandae kutukanwa na mambumbumbu kwa kutoa jezi mbovu
Kama ni hizo huyo Frank Vunjabei hawezi kazi bana,jezi gani sasa hiyo. Anatuboa banaKitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
View attachment 1909327
Jersey haijatoka bado msiwasikilize VYURAKama ni hizo huyo Frank Vunjabei hawezi kazi bana,jezi gani sasa hiyo. Anatuboa bana
JEZI YENUVunja bei ajiandae kutukanwa na mambumbumbu kwa kutoa jezi mbovu
Kama ninyi mlivo stukaView attachment 1909421
Unamwita Mwanaume mwenzako Mrembo??? Uvumilivu umeanza kuwashinda mapema sana Mikia kabla shughuli yenyewe haijaanza
Kama ni hizo huyo Frank Vunjabei hawezi kazi bana,jezi gani sasa hiyo. Anatuboa bana