Baada ya Yemen Sasa ni zamu ya viongozi wa Hamas huko Doha Qatar kuuawa!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Msemaji wa Shin Bet:

Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, kwa kutumia Jeshi la Anga, walifanya shambulizi lililo lengo dhidi ya uongozi mkuu wa shirika la kigaidi la Hamas.

Viongozi waliopigwa walikuwa wameelekeza shughuli za shirika kwa miaka mingi na wanawajibika moja kwa moja kwa mauaji ya Oct 7,2023 na kusimamia vita dhidi ya taifa la Israeli.

Kabla ya shambulizi hilo, hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara kwa raia wasiohusika, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi sahihi na taarifa za ziada za kijasusi. Hapo ndipo matują Israel ni kiboko cha magaidi popote duniani.

IDF na Shin Bet zitaendelea kuchukua hatua thabiti kulishinda shirika la kigaidi la Hamas lililohusika na mauaji ya Oct 07,2023.

Fimbo iliyowapiga Wahouth Sasa ni zamu ya Hamas kupata Kipondo cha kufa mtu!!!!

View: https://x.com/EYakoby/status/1965414776470995221
 
Viongozi wa Hamas waliolengwa ni hawa hapa chini!!!
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2025-09-09 at 16.39.36.mp4
    3.1 MB
Kabla ya shambulizi hilo, hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara kwa raia wasiohusika, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi sahihi na taarifa za ziada za kijasusi. Hapo ndipo matują Israel ni kiboko cha magaidi popote duniani.
Mbona wamefeli sasa? Hiyo intelijensia ilikua wapi
 
Haha kwa Yahya Sinwar, Muhammed Sinwar na Hassan Nasrallah mlisema hivyo hivyo!!!

Haha hivyo baada mizoram yao kuanza kunuka ilibidi mseme ukweli kuwa wamekufa!!
 
Kukatwa kichwa leo kwa uongozi wa Hamas nchini Qatar ni operesheni nzuri na yenye nguvu iliyofanywa na IDF na Shin Bet chini ya uongozi wa Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi.

Operesheni "Mkutano wa Moto" inaashiria hatua kubwa kuelekea kushindwa kwa kundi la kigaidi la Hamas. Inatoa haki kwa wale waliohusika na mauaji ya Oktoba 7, inaimarisha sura ya kuzuia Israeli, na inaweza kutengeneza njia ya kumaliza vita huko Gaza chini ya masharti ya Israeli, kwanza kabisa kuachiliwa kwa mateka wote na kupokonywa silaha kwa Hamas.

Pia ni ujumbe kwa wakazi wa Gaza: wakati umefika wa kuinuka dhidi ya Hamas iliyodhoofika na kufanya kazi ya kumaliza vita.
 
Attachments

  • IMG_20250909_223426_217.jpg
    IMG_20250909_223426_217.jpg
    111.1 KB · Views: 35
Israel wananifurahisha hadi naumwa, tangu walipovuruga Iran ikakalishwa, imekua ni mwendo wa kujipigia popote
 
Ndege za US zimeruka hapo hapo Qatar kuwapiga viongozi wa Hamas lakini Qatar watapiga firimbi ni israel ndio kawapiga hahaha
 
Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Msemaji wa Shin Bet:

Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, kwa kutumia Jeshi la Anga, walifanya shambulizi lililo lengo dhidi ya uongozi mkuu wa shirika la kigaidi la Hamas.

Viongozi waliopigwa walikuwa wameelekeza shughuli za shirika kwa miaka mingi na wanawajibika moja kwa moja kwa mauaji ya Oct 7,2023 na kusimamia vita dhidi ya taifa la Israeli.

Kabla ya shambulizi hilo, hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara kwa raia wasiohusika, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi sahihi na taarifa za ziada za kijasusi. Hapo ndipo matują Israel ni kiboko cha magaidi popote duniani.

IDF na Shin Bet zitaendelea kuchukua hatua thabiti kulishinda shirika la kigaidi la Hamas lililohusika na mauaji ya Oct 07,2023.

Fimbo iliyowapiga Wahouth Sasa ni zamu ya Hamas kupata Kipondo cha kufa mtu!!!!

Israel kiboko. Irani wanaitambua vizuri sana.
 
Tuliona ilibidi US ajitokeze live kumsaidia
Iran hawana hamu walikuwa wanashenyentwa ndani kwao. Khayatollah ilibidi akimbilie shimoni. Hawa wengine wamebong'oa tu wakachapwa nao hawajainuka tena mbwa hao. Ndani ya nchi nyingine. Jamaa wana hakikisha hawaui raia wema. Wao wataka wawashenyente magaidi tu.
 
Iran alikalishwa? Hahhahaa nani aliomba cease fire?
Tatizo utoto unawasumbua sana!!! Iran ilipoteza Makamanda waandamizi 30+ na wanasayansi wa Nuclear 60+ harmful were unakuja haha kubwabwaja ovyo!!
 
Jibu swali aliomba cease fire? Sasa nchi yenye wasomi wa Nuclear wanaograduate 2000 kila mwaka what the hell is 60?? Na hao makamanda kwenye jeshi la watu 2 million kuna hasara gani? Kama wao hawaku surrender ina maana hawakuona loss ni kubwa so usilazimishie.

Hata Israel walilipuliwa bandari, kambi ya silaha na kituo cha utafiti ila huwezi sikia kama ni hasara!! Israel aliomba cease fire baada ya kuona makombora ya Iran yanapenya kuliko alivyodhani na aliishiwa interceptors hivyo angechakazwa Kama trend ile ingeendelea.
 
Mwenye namba ya Netanyahau tumtumie ujumbe alipue viongozi wa Tanzania
 
Back
Top Bottom