zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Israel wenyewe wameconfirm kuwa watu 6 walikufa ila Uongozi wa Hamas uli survive. Sasa nikuamini wewe au wenye Mossad yao?Haha kwa Yahya Sinwar, Muhammed Sinwar na Hassan Nasrallah mlisema hivyo hivyo!!!
Haha hivyo baada mizoram yao kuanza kunuka ilibidi mseme ukweli kuwa wamekufa!!