Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Msemaji wa Shin Bet:
Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, kwa kutumia Jeshi la Anga, walifanya shambulizi lililo lengo dhidi ya uongozi mkuu wa shirika la kigaidi la Hamas.
Viongozi waliopigwa walikuwa wameelekeza shughuli za shirika kwa miaka mingi na wanawajibika moja kwa moja kwa mauaji ya Oct 7,2023 na kusimamia vita dhidi ya taifa la Israeli.
Kabla ya shambulizi hilo, hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara kwa raia wasiohusika, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi sahihi na taarifa za ziada za kijasusi. Hapo ndipo matują Israel ni kiboko cha magaidi popote duniani.
IDF na Shin Bet zitaendelea kuchukua hatua thabiti kulishinda shirika la kigaidi la Hamas lililohusika na mauaji ya Oct 07,2023.
Fimbo iliyowapiga Wahouth Sasa ni zamu ya Hamas kupata Kipondo cha kufa mtu!!!!
Mbona wamefeli sasa? Hiyo intelijensia ilikua wapiKabla ya shambulizi hilo, hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara kwa raia wasiohusika, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi sahihi na taarifa za ziada za kijasusi. Hapo ndipo matują Israel ni kiboko cha magaidi popote duniani.
Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Msemaji wa Shin Bet:
Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, kwa kutumia Jeshi la Anga, walifanya shambulizi lililo lengo dhidi ya uongozi mkuu wa shirika la kigaidi la Hamas.
Viongozi waliopigwa walikuwa wameelekeza shughuli za shirika kwa miaka mingi na wanawajibika moja kwa moja kwa mauaji ya Oct 7,2023 na kusimamia vita dhidi ya taifa la Israeli.
Kabla ya shambulizi hilo, hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara kwa raia wasiohusika, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi sahihi na taarifa za ziada za kijasusi. Hapo ndipo matują Israel ni kiboko cha magaidi popote duniani.
IDF na Shin Bet zitaendelea kuchukua hatua thabiti kulishinda shirika la kigaidi la Hamas lililohusika na mauaji ya Oct 07,2023.
Fimbo iliyowapiga Wahouth Sasa ni zamu ya Hamas kupata Kipondo cha kufa mtu!!!!
Tuliona ilibidi US ajitokeze live kumsaidiaIsrael wananifurahisha hadi naumwa, tangu walipovuruga Iran ikakalishwa, imekua ni mwendo wa kujipigia popote
Viongozi wa Hamas waliolengwa ni hawa hapa chini!!!
Iran hawana hamu walikuwa wanashenyentwa ndani kwao. Khayatollah ilibidi akimbilie shimoni. Hawa wengine wamebong'oa tu wakachapwa nao hawajainuka tena mbwa hao. Ndani ya nchi nyingine. Jamaa wana hakikisha hawaui raia wema. Wao wataka wawashenyente magaidi tu.Tuliona ilibidi US ajitokeze live kumsaidia
Iran alikalishwa? Hahhahaa nani aliomba cease fire?Israel wananifurahisha hadi naumwa, tangu walipovuruga Iran ikakalishwa, imekua ni mwendo wa kujipigia popote
Jibu swali aliomba cease fire? Sasa nchi yenye wasomi wa Nuclear wanaograduate 2000 kila mwaka what the hell is 60?? Na hao makamanda kwenye jeshi la watu 2 million kuna hasara gani? Kama wao hawaku surrender ina maana hawakuona loss ni kubwa so usilazimishie.Tatizo utoto unawasumbua sana!!! Iran ilipoteza Makamanda waandamizi 30+ na wanasayansi wa Nuclear 60+ harmful were unakuja haha kubwabwaja ovyo!!