Baada ya Yemen Sasa ni zamu ya viongozi wa Hamas huko Doha Qatar kuuawa!!

Haha kwa Yahya Sinwar, Muhammed Sinwar na Hassan Nasrallah mlisema hivyo hivyo!!!

Haha hivyo baada mizoram yao kuanza kunuka ilibidi mseme ukweli kuwa wamekufa!!
Israel wenyewe wameconfirm kuwa watu 6 walikufa ila Uongozi wa Hamas uli survive. Sasa nikuamini wewe au wenye Mossad yao?
 
Unasumbuliwa sana na Utoto! Katika jeshi kupoteza Makamanda waandamizi 30+ kwa siku moja na Kupoteza wanasayansi wa Nuclear 60+ si kitu kidogo ni Mjinga na Mpumbavu tu kama wewe ndiyo unaweza kuona si kitu.

Ndege-vita za Israel kuingia na kutoka kwa siku 12 katika nchi ya Iran si jambo dogo ni mjinga na Mpumbavu kama wewe ndiyo unaweza kuona si kitu

Ndege-vita za Israel kuingia na kutoka kama zipendavyo huko Iran inaonyesha ni jinsi gani wanahewa wa IAF walivyo na uwezo wa kulimiliki anga la Iran kwa siku 12 bila hata ndege-vita yao hata moja kuangusha!!!

Israel ndiyo walioanza kuishambulia Iran hivyo kama Iran angekuwa na uwezo wa kupigana na Israel ilikuwa nafasi yake kupigana na Israel hadi tone la mwisho la damu yake lakini kwa kuwa uwezo alikuwa hana ilibidi tu kuitumia nafasi ya Ceasefire iliyotolewa na Marekani kwa kukubali kusitisha mapigano wakati yeye ndiye aliyechokozwa kitu ambacho si kawaida kwa aliyechokozwa kukubali upuuzi huo.

Wafuga Midevu na Majini karibu wote wamejengwa kwenye misingi ya uongo,upotoshaji na matusi. Ndiyo maana hata wakipigwa wao hupindisha ukweli wao kitendo hicho hukiita Taqiyyah yaani Kusema Uongo kwa jina la Mnyazimungu wao!!!
 
Hii ndio njia iliyopitishwa na ndege za Jeshi la Wanahewa la Israeli kushambulia Qatar jana - kupitia Syria, Iraqi na Ghuba ya Uajemi.
 

Attachments

  • telegram-cloud-document-4-5913538563449821702.mp4
    341 KB
Katika jeshi kupoteza Makamanda waandamizi 30+ kwa siku moja
Siku moja ipi hiyo? Unaongea uongo bila aibu nikikwambia unitajie hata makamanda 10 unaweza? au unadhani hadi platoon commander basi ni cheo cha juu?? Embicile.
Kupoteza wanasayansi wa Nuclear 60+ si kitu kidogo ni Mjinga na Mpumbavu tu kama wewe ndiyo unaweza kuona si kitu.
Acha utoto hao wanasayansi 60 unawajua majina? Au unadhani hata mfagiaji kwenye kituo cha nuclear ni mwanasayansi?
Either way nimekwambia Kuna graduands zaidi ya 2000 kila mwaka kwenye masuala ya Atomic Energy hapo Iran sasa unadhani wana wataalamu Maelfu ngapi? Ndio uje kusema eti wanasayansi wameisha?
Ndege-vita za Israel kuingia na kutoka kwa siku 12 katika nchi ya Iran si jambo dogo ni mjinga na Mpumbavu kama wewe ndiyo unaweza kuona si kitu
Sio Israel mpaka USA, France, UK, Saudi na walilipua Air defense zote kabla ya vita kuanza ila sio kwamba walianza vita head on wakaingia tu. Uwezo wa Iran kuwatwanga Israel bila air support ni jambo la kishujaa sana
 
Ndege-vita za Israel kuingia na kutoka kama zipendavyo huko Iran inaonyesha ni jinsi gani wanahewa wa IAF walivyo na uwezo wa kulimiliki anga la Iran kwa siku 12 bila hata ndege-vita yao hata moja kuangusha!!!
Hauna unalojua wewe pengine lugha changamoto. Air defense zilishambuliwa kwa counter attack kwa missiles kutoka warships za USA, ndege za IDF, RAF ya uingereza, France na Saudia sasa hata Israel ingeshambuliwa na nchi 6 ingetoboa kwenye air defence? Sasa fikiria nchi haina air defense ila bado ilikua na uwezo wa kurusha kombora zaidi ya 100 kwa siku. Unadhani ni cha mtoto? Hao Israel wenyewe walikua wanapewa silaha na USA wangebaki wenyewe kwa wenyewe tuone nani mwanaume
 
Iran nao walikubali kirahisi mno ile cease fire. Walitakiwa waendelee kupeleka moto, sasa wamewaacha wapalestina wanaendelea kuteketea wao wamekaa kimya.
 
Siku moja ipi hiyo? Unaongea uongo bila aibu nikikwambia unitajie hata makamanda 10 unaweza? au unadhani hadi platoon commander basi ni cheo cha juu?? Embicile.
Ndiyo maana ninakuambia Utoto unakusumbua Kati ya hawa hakuna Platoon-Kamanda wote waliouwawa ni Makamanda waandamizi Nina uhakika hujui kutofautisha Kati ya Kamanda Mwandamizi na Platoon kamanda.

Jeshi la Iran lilipoteza watu mhimu wakiwemo wakuu wa Majeshi wawili na kwa sababu wewe mwenyewe Utoto unakusumbua huwezi kujua!!!!
Sio Israel mpaka USA, France, UK, Saudi na walilipua Air defense zote kabla ya vita kuanza ila sio kwamba walianza vita head on wakaingia tu. Uwezo wa Iran kuwatwanga Israel bila air support ni jambo la kishujaa sana
hapo ndipo unapoonyesha Utoto unavyokusumbua maana hukosi visingizio vya kijinga na kipumbavu!!!!
 

Attachments

  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 13
  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 16
  • IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 17
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 16
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 14
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 15
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 12
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 14
  • IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 16
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 12
Hapo ndipo unapotuonyesha ujinga wako ulivyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…