wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?