Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Utamaduni wao kipindi hicho ilikuwa kitovu kinafanywaje/kinahifadhiwa?Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?
Umejitahidi sana kueleza hapo Luka 2:7 lakini umeshindwa kujiuliza: Hivi katika hali ya kawaida, tena ya kibinadamu, mwanamke akijifungua anaweza kutembea umbali gani ili akamlaze mtoto mahali fulani mbali na alipojifungulia e.g. kwenye hori ya kulia ng'ombe. Umeshawahi kufika Labour ward?(cku hizi wanaruhusu lakini kwa mke wako).Hivi ni nani aliyewadanganya wakristo kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia Ng'ombe?
Mbona hili andiko linapingana na huo uzushi
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Andiko linasema amemlaza katika hori ya kulia Ng'ombe na sio kamzaa katika hori ya kulia Ng'ombe
Pia andiko linasema amemlaza hapo katika hori ya kulia Ng'ombe Kwa sababu alikosa nafasi katika nyumba ya wageni
Maana yake ni kwamba kama angepata nafasi katika nyumba ya wageni hapo katika hori ya kulia Ng'ombe Mariam na mwanawe Yesu wasinge fika
Nyinyi wagalatia sijui huwa mnakwama wapi hadi mnadanganywa kirahisi hivi
Sasa si histori kama tunavyoona wajerumani wakina tz kutembelea vifaa vyao waliofukia adhi ya tz?mbona tunaenda kuhiji makaburi kule israel na mapango waliotumia manabii?Kwani Utamaduni wao kipindi hicho ilikuwa kitovu kinafanywaje/kinahifadhiwa?
Halafu ina umuhimu gani au itakusaidia nn kwako?? Mbona unamchokoza mzee Yusufu na pia mama yake Yesu?
Hivi kwa desturi, mila na adabu za kwenu unaweza kumwuliza baba au mama mzazi wa mtu unayemfahamu (e.g. Rafiki yako fulani) swali kama hilo? Si utaonekana ww ni mshirikina? Eti kitovu cha fulani mlikihifadhi wapi.
Sawa, Lakini kwa habari za kitovu kilihifadhiwa wapi m'm' udodosaji huo siafikiani nao aisee. Kama lingekuwa ni jambo la umuhimu katika wokovu ungekuta majibu yalishapakana.Sasa si histori kama tunavyoona wajerumani wakina tz kutembelea vifaa vyao waliofukia adhi ya tz?mbona tunaenda kuhiji makaburi kule israel na mapango waliotumia manabii?
Biblia ni dictionary. Uandishi wa leo ni tofauti sana na wa kipindi hicho. Pia mnapenda sana kujua vitu vidogo vidogo sana.Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?
Yep! Pia Je, alilia au alivumilia kajikaza kiume kama inavyokuwa huku Umasaini ndani ndani huku na Je, ngariba alikuwa nani?Ukitulia waza na alvyo Tahiriwa Govi walitupa wap
Safi kabisa. Tena vitu ambavyo havina umuhimu wowote kwa anayetaka kuvijua - ni utundu tu.Biblia ni dictionary. Uandishi wa leo ni tofauti sana na wa kipindi hicho. Pia mnapenda sana kujua vitu vidogo vidogo sana.
Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?
Mkishavuta mibangi yenu msiwe mnagusa simu aisee, ona sasa unaandika/uliza upuuzi! Watu wazima tuanze kujadili kitovu!?Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?
Mimi nilitaka mjue tu kuwa mnaposema Yesu alizaliwa katika hori ya kulia Ng'ombe sio kweli ila mnadanganyanaUmejitahidi sana kueleza hapo Luka 2:7 lakini umeshindwa kujiuliza: Hivi katika hali ya kawaida, tena ya kibinadamu, mwanamke akijifungua anaweza kutembea umbali gani ili akamlaze mtoto mahali fulani mbali na alipojifungulia e.g. kwenye hori ya kulia ng'ombe. Umeshawahi kufika Labour ward?(cku hizi wanaruhusu lakini kwa mke wako).
Hiyo habari ya kukosa nafasi katika nyumba ya wageni i.e. guest house ni ili ujue kwamba walihangaika sana kutafuta mahali walau penye faragha ila ilishindikana.
OK. wewe unadhani alimzalia wapi kisha baadaye akampeleka kumlaza kwenye hori? - porini, barabarani au
Sasa si ungelienda kwenye point moja kwa moja bila kuzunguka-zunguka na vitovu kisha utuambie ukweli ni upi i.e. alizaliwa wapi bila kusahau kuweka na ka-ushahidi kako.Mimi nilitaka mjue tu kuwa mnaposema Yesu alizaliwa katika hori ya kulia Ng'ombe sio kweli ila mnadanganyana
Unasema wayahudi awna Mila kweli?Sasa aliyekwambia wayahudi wana mila ya kutàmbikia vitovu hadi mtuulize sisi eti kutovu cha Yesu kiliwekwa wapi? Kwani Yesu msukuma?
Wayahudi wana mila na desturi zao. Sasa si ingelikuwa bora zaidi ukaenda kuwauliza wao wenyewe kwa sababu wapo. Ukituuliza sisi tunaweza kukudanganya.Unasema wayahudi awna Mila kweli?