Kwenye mgomba ambao majani yake ndiyo waliokua wakila wale ng'ombe ambao Yesu alizaliwa horini mwaoKwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?
Tatizo unafikiri Yesu ni msukuma kwamba wana matambiko ya vitovu.Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?
Wasukuma wanatambikia vitovu??Tatizo unafikiri Yesu ni msukuma kwamba wana matambiko ya vitovu.
Sasa aliyekwambia wayahudi wana mila ya kutàmbikia vitovu hadi mtuulize sisi eti kutovu cha Yesu kiliwekwa wapi? Kwani Yesu msukuma?Wasukuma wanatambikia vitovu??
Mbona una mambo mengi mkuu😁😁Sasa aliyekwambia wayahudi wana mila ya kutàmbikia vitovu hadi mtuulize sisi eti kutovu cha Yesu kiliwekwa wapi? Kwani Yesu msukuma?
mara nyingi stori kama hizi utazipata kwa wachanjaji na jamaa wa mafegi mingiUmeshalewa bwashee
Hahahaha bora wanywa pombe hatupo , kama unavyotuona watu wa hovyo mkuu🤣🤣🤣mara nyingi stori kama hizi utazipata kwa wachanjaji na jamaa wa mafegi mingi
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo Ni bia Ya Ngapi??
🤣🤣🤣🤣🤣
kuna mpumbavu moja nimeona kanzisha mada eti pombe toka jana haishi kichwaniHahahaha bora wanywa pombe hatupo , kama unavyotuona watu wa hovyo mkuu🤣🤣🤣
Yohane 21:25Kwanza heri ya krismasi kwenu.
Kama mnavyojua kila kinachozaliwa hata kama kiwe ni mnyama lazima kiwe na kitovu kirefu na baada ya mda hukatika.
Kwa upande wa binadamu kitovu huwa kinahifadhiwa kulimganana kabila au jadi fulani, wengine hupeleka kwa babu au bibi shangazi au mjomba(kuligani na imani ya kabila husika)sasa kwa upande wa dini tumeambiwa kwenye vitabu kuwa Yesu alizaliwa tena kwenye hori la ng'ombe na akalelewa kama mtoto,na kwa kuwa alizaliwa ni lazima alikuwa na kitovu.
Je, kitovu kiliwekwa wapi maana sijawahi ona au sikia kitabu chochote kikielezea kuwa kitovu cha mtoto Yesu kilihifadhiwa wapi.?
Mkuu mimi ndio nimeamka sasa hivi kabla ya chochote nimekimbilia refrigerator, kufuata bia ya baridi, si ndio unaniona takataka kabisa😁😁😁kuna mpumbavu moja nimeona kanzisha mada eti pombe toka jana haishi kichwani
nimeisoma tuh nikajua anamna mtu pale
kweni ungekimbilia kahawa na maziwa shida ingekuwa wapi ndugu usiwe mpumbavu bana vileo ni mahusi kwa wenye mtindioMkuu mimi ndio nimeamka sasa hivi kabla ya chochote nimekimbia refrigerator, kufuata bia ya baridi, si ndio unaniona takataka kabisa😁😁😁