Baada ya Yesu kuzaliwa kitovu chake kiliwekwa wapi?

Kwani Utamaduni wao kipindi hicho ilikuwa kitovu kinafanywaje/kinahifadhiwa?
Halafu ina umuhimu gani au itakusaidia nn kwako?? Mbona unamchokoza mzee Yusufu na pia mama yake Yesu?
Hivi kwa desturi, mila na adabu za kwenu unaweza kumwuliza baba au mama mzazi wa mtu unayemfahamu (e.g. Rafiki yako fulani) swali kama hilo? Si utaonekana ww ni mshirikina? Eti kitovu cha fulani mlikihifadhi wapi.
 
Umejitahidi sana kueleza hapo Luka 2:7 lakini umeshindwa kujiuliza: Hivi katika hali ya kawaida, tena ya kibinadamu, mwanamke akijifungua anaweza kutembea umbali gani ili akamlaze mtoto mahali fulani mbali na alipojifungulia e.g. kwenye hori ya kulia ng'ombe. Umeshawahi kufika Labour ward?(cku hizi wanaruhusu lakini kwa mke wako).
Hiyo habari ya kukosa nafasi katika nyumba ya wageni i.e. guest house ni ili ujue kwamba walihangaika sana kutafuta mahali walau penye faragha ila ilishindikana.
OK. wewe unadhani alimzalia wapi kisha baadaye akampeleka kumlaza kwenye hori? - porini, barabarani au
 
Sasa si histori kama tunavyoona wajerumani wakina tz kutembelea vifaa vyao waliofukia adhi ya tz?mbona tunaenda kuhiji makaburi kule israel na mapango waliotumia manabii?
 
Nenda kwenye akaunti yake ya Instagram, kamuulize mwenyewe!
 
Sasa si histori kama tunavyoona wajerumani wakina tz kutembelea vifaa vyao waliofukia adhi ya tz?mbona tunaenda kuhiji makaburi kule israel na mapango waliotumia manabii?
Sawa, Lakini kwa habari za kitovu kilihifadhiwa wapi m'm' udodosaji huo siafikiani nao aisee. Kama lingekuwa ni jambo la umuhimu katika wokovu ungekuta majibu yalishapakana.
 
Biblia ni dictionary. Uandishi wa leo ni tofauti sana na wa kipindi hicho. Pia mnapenda sana kujua vitu vidogo vidogo sana.
 
Biblia ni dictionary. Uandishi wa leo ni tofauti sana na wa kipindi hicho. Pia mnapenda sana kujua vitu vidogo vidogo sana.
Safi kabisa. Tena vitu ambavyo havina umuhimu wowote kwa anayetaka kuvijua - ni utundu tu.
 


Ushasema mila na desturi na yeye ilikuwa hivo hivo
 
Mkishavuta mibangi yenu msiwe mnagusa simu aisee, ona sasa unaandika/uliza upuuzi! Watu wazima tuanze kujadili kitovu!?
 
Mimi nilitaka mjue tu kuwa mnaposema Yesu alizaliwa katika hori ya kulia Ng'ombe sio kweli ila mnadanganyana
 
Mimi nilitaka mjue tu kuwa mnaposema Yesu alizaliwa katika hori ya kulia Ng'ombe sio kweli ila mnadanganyana
Sasa si ungelienda kwenye point moja kwa moja bila kuzunguka-zunguka na vitovu kisha utuambie ukweli ni upi i.e. alizaliwa wapi bila kusahau kuweka na ka-ushahidi kako.
 
Unasema wayahudi awna Mila kweli?
Wayahudi wana mila na desturi zao. Sasa si ingelikuwa bora zaidi ukaenda kuwauliza wao wenyewe kwa sababu wapo. Ukituuliza sisi tunaweza kukudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…