Baada ya zama za kubebwa na Yamoto Band kupita, Enock Bella atoa wimbo mbaya kupitiliza

Huyu kazi yake kubwa huwa ni kumsifia dimond hataki wengine wawe juu
 
Kuna chuki flani hapa imejificha kichini chini
 
kila mtu anamapenz yake, mtoa mada wew unampenda wema kimapenzi mimi nampenda asha boko
 
Umekosea sanaa.. Jamaa ndoto yake kubwa kua mwanamusic kama akina diamond na kiba.... Hvyo ni kumpa ujanja nini afanye ili atoke.... Ama awe dancer... Ama abadili Style ya sauti yake.... Ama atumie computer kuweka sauti sawa
Usemacho kinawezekana. Nikimuangalia Dogo Ditto "Lameck Ditto" wa DARUBINI wakiwa na Mfalme Sele, na Ditto wa THT kuna tofauti kubwa sana!
 
Kwa lile bass, acheck na KIKOSI kama anaweza kufanya nao kazi!
 
Mtoa mada naona umetumwa tu

Pambana na hali yako, acha kusafiria nyota za wenzio
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha [emoji42]
 
Hapa nimegundua jambo,mtoa mada alilenga kutushawishi kuusikiliza na kaweza,kiujumla wimbo ni mzuri,uko poa unachezeka kiutu uzima,
Hongera mpiga pro umenibamba
 
Bila shaka alikutafuna uroda na hakukulipa buku lako,si kwa wivu huo
 

Kwa hiyo huu ndo wimbo mbaya kuliko zote mwaka huu?,.. sasa hivi nikikuta post zako ntakuwa sifungui kabisa maana zimejaa upuuzi mtupu
 
Kwa hiyo huu ndo wimbo mbaya kuliko zote mwaka huu?,.. sasa hivi nikikuta post zako ntakuwa sifungui kabisa maana zimejaa upuuzi mtupu
Sasa ukifungua au usipofungua mimi napungukiwa na nini?

Kwanza bora usifungue maana huwa sipendi mada zangu watu wa ajabu ajabu kama wewe washiriki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…