Baada ya zama za kubebwa na Yamoto Band kupita, Enock Bella atoa wimbo mbaya kupitiliza

Tatizo la wabongo ndio hilo mnataka tusifie hata kazi mbovu ,hii ni tabia ya kinafiki na kwa bahati mbaya mimi unafiki sina.
 
Nyimbo si kili sana ila si mbovu kama usemevyo
Labda kama una chuki binafsi
 
mto maada mchawi

unalalamika na nyimbo hoax??

aibu hii
 
mleta mada nimependa mbinu uliyotumia kum-promote msanii na kuitaja nyimbo yake aliyotoa hivi karibuni.

kitendo cha kumponda kitamfanya wapenda burudani ya musiki,waingiwe na huruma na hivyo kujikuta ghafla wakimposapoti msanii wako bila hata wao kujua.


hongera kwa strategy hiyo.
 
Kundi linapovunjika ni wachache sana huendeleaa kutambaa kivyao so sishangai... maana leo ukiniulza spark yuko wapi siwezi kujibu... Enock abadilishe style ya kuimbaa.. lilee sauti kulisikiliza mwanzo mwishoo halinogii hatas...
 
................
Huko IG watu wachache wamejitokeza kumsapoti lakini wapi ngoma haisapotiki ,imedoda.

View attachment 623529Pole sana Enock Bela tafuta kazi nyingine tu huku kwenye mziki unatukera huna ulichobakiza.

Kuna nyimbo mbili youtube za huyu msanii Enock Bella.

Moja ina label ulioiweka hapa. Hii ipo kwenye genre (mahadhi) ya Reggae. Hii hakuiimba yeye bali imeimbwa na mwanamke. Sidhani hii ni yake.

Nyingine yenye jina hilo la SAUDA, na hiyo ameiimba yeye, ina video ikionesha anacheza na kuimba. Hii imeimbwa katika genre ya Rhumba/Salsa.

Mimi kwa kweli siuoni ubaya wake. Inachezeka, inasikilizika (easy listening).
Labda useme kuwa videography na choreography zingeweza kuboreshwa kidogo lakini wimbo ni mzuri na sauti yake pia ni nzuri tu.

Tusimhukumu mapema, upe muda wimbo huu na pengine akifuatia na vibao vingine viwili vitatu ndipo tumhukumu.

Haya ni maoni yangu tu.
 
Ukiwa mtu wa team lazima nyimbo za wengine uone mbaya ngoja niitafute nione
 
Kundi linapovunjika ni wachache sana huendeleaa kutambaa kivyao so sishangai... maana leo ukiniulza spark yuko wapi siwezi kujibu... Enock abadilishe style ya kuimbaa.. lilee sauti kulisikiliza mwanzo mwishoo halinogii hatas...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hata kama mziki haumpendi kweli... wewe unatakuwa na ugomvi naye
 
Mtoa post una roho mbaya sana na lazima utakuwa na undugu na shetani. Wimbo ni mzuri sana, kaimba kwa kutulia kabisa.
 
Mtoa mada huyu nahisi ndo yule aliyeponda Twitter kusema Bella kazi yake mbaya sio vizur usimkatishe tamaa to that extent mwache apambane na hali yake akijua alipokosea may be atabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…