Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #81
Tatizo la wabongo ndio hilo mnataka tusifie hata kazi mbovu ,hii ni tabia ya kinafiki na kwa bahati mbaya mimi unafiki sina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
................
Huko IG watu wachache wamejitokeza kumsapoti lakini wapi ngoma haisapotiki ,imedoda.
View attachment 623529Pole sana Enock Bela tafuta kazi nyingine tu huku kwenye mziki unatukera huna ulichobakiza.
Mmh dada akee ni niniisawa
Kabisa mkuusi kila mwanamuziki anaweza simama solo, huyu ni mtu wa bendi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kundi linapovunjika ni wachache sana huendeleaa kutambaa kivyao so sishangai... maana leo ukiniulza spark yuko wapi siwezi kujibu... Enock abadilishe style ya kuimbaa.. lilee sauti kulisikiliza mwanzo mwishoo halinogii hatas...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mleta mada nimependa mbinu uliyotumia kum-promote msanii na kuitaja nyimbo yake aliyotoa hivi karibuni.
kitendo cha kumponda kitamfanya wapenda burudani ya musiki,waingiwe na huruma na hivyo kujikuta ghafla wakimposapoti msanii wako bila hata wao kujua.
hongera kwa strategy hiyo.
sina ugomvi nayeHata kama mziki haumpendi kweli... wewe unatakuwa na ugomvi naye
Bonge la wimboo.,akiendelea hivi atafika mbali ila asitoe song mpaka hii waipromote vizuri.Good song indeed!Jamaa kaamua kumpgia promo kiaina