pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Waichukue Steiglers gorge pia hata uwanja wetu wa JNIA.
Endelea kutetea ujinga..Wacha kuropoka Bagamoyo hamna bandari kusema imechukuliwa na Mchina hajihusishi na gesi ya Tanzania.
Kasome mkataba aliyoisaini mkwele kwa taarifa yako wachina hawaitambui kwa jina la bandari ya Bagamoyo ishapewa jina lingine.bado kuletewa viwanda vya baiskeli nakufunguliwa kwa mahakama ya kibiashara tu ili mikataba itimieWacha kuropoka Bagamoyo hamna bandari kusema imechukuliwa na Mchina hajihusishi na gesi ya Tanzania.
Ukoloni hauji kwa mabavu na nguvu ya kijeshi tu hata kupitia mikataba rudia kusoma historia vizuri. Waafrika hatuwezi kuwa subjected kwenye ukoloni kisa watu fulani wameingia mikataba ya hovyo hiyo ni akili ya ajabu na nitakushangaa ukiona hii ni usawa. Na hamna muda muafaka wa kuwa hizi blocks AU au SADC kama sasa nchi moja moja haziwezi kukabiliana na hizi nchi kubwa au taasisi zao kama hiyo mahakama kimataifa ambazo zinashughulika na hizi nchi ndogo.Unajua maana ya ukoloni?
Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..
SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..
Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..
SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...
Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,
Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%
Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri
Kwani wakati mnasaini mikataba ya kuomba mikopo mnakuwa mmelewa? Hivi nyie waafrica mnaakili kweli?Ukoloni hauji kwa mabavu na nguvu ya kijeshi tu hata kupitia mikataba rudia kusoma historia vizuri. Waafrika hatuwezi kuwa subjected kwenye ukoloni kisa watu fulani wameingia mikataba ya hovyo hiyo ni akili ya ajabu na nitakushangaa ukiona hii ni usawa. Na hamna muda muafaka wa kuwa hizi blocks AU au SADC kama sasa nchi moja moja haziwezi kukabiliana na hizi nchi kubwa au taasisi zao kama hiyo mahakama kimataifa ambazo zinashughulika na hizi nchi ndogo.
Maeneo mengi Tanzania yalichukuliwa bila hata kupigana baada ya kugundua kuwa hawakuwa na nguvu za kushindana na wakoloni na hasa baada ya kuona wababe akina Mtwa Mkwawa, Mtemi Isike, Mangi Meli, Mtemi Tagaralla, Machemba, Abushir, etc, etc, etc.Unajua maana ya ukoloni?
Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..
SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..
Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..
SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...
Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,
Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%
Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri
It will never happen walahiIkitokea tz nashauri wauchukue uwanja wa chato
Bandari ya Bagamoyo ilishtukiwa na imeshapigwa chini!Unajua maana ya ukoloni?
Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..
SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..
Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..
SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...
Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,
Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%
Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri
Ikitokea tz nashauri wauchukue uwanja wa chato
leta evidence!Kasome mkataba aliyoisaini mkwele kwa taarifa yako wachina hawaitambui kwa jina la bandari ya Bagamoyo ishapewa jina lingine.bado kuletewa viwanda vya baiskeli nakufunguliwa kwa mahakama ya kibiashara tu ili mikataba itimie
Hayo ni makubaliano ya pande zote mbili, hulazimishwi kukubali utakapo ridhika unatia saini bila kushurutishwa. Sasa wewe utasemaje ni ukoloni?Maeneo mengi Tanzania yalichukuliwa bila hata kupigana baada ya kugundua kuwa hawakuwa na nguvu za kushindana na wakoloni na hasa baada ya kuona wababe akina Mtwa Mkwawa, Mtemi Isike, Mangi Mangi, Mtemi Tagaralla, Machemba, Abushir, etc, etc, etc.
Je, umesahau eneo la Msovero Kilosa, lilivyochukuliwa na Wajerumani kupitia Mkataba wa Kilaghai wa Carl Peters dhidi ya Sultan Mangungo?
So ukoloni haukuwa mabavu tu bali hata kwa mikataba.
Walipigwa chini lakini walikuja kuambiwa go ahead, uwe unafuatilia mambo chiefBandari ya Bagamoyo ilishtukiwa na imeshapigwa chini!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hahahah! Mkuu umenichekesha sana usiku huuIkitokea tz nashauri wauchukue uwanja wa chato
Ikitokea tz nashauri wauchukue uwanja wa chato
Sisi tayari wamechukua gesi