Baada ya Zambia 🇿🇲 sasa inaenda Kenya 🇰🇪, China 🇨🇳 is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊

Leta ushahidi kwamba bandari ya Mombasa inachukuliwa na kwamba SGR ya Kenya imefeli. Hii hoja yako ni kama ya mtu aliyeshiba makande kupitiliza na akalewa kwa viroba vya deni.
 
Ndo haya ya bandari ninayo yaona walio chukua wachina na ss tunaelekea huku
 
Wacha kuropoka Bagamoyo hamna bandari kusema imechukuliwa na Mchina hajihusishi na gesi ya Tanzania.
Kasome mkataba aliyoisaini mkwele kwa taarifa yako wachina hawaitambui kwa jina la bandari ya Bagamoyo ishapewa jina lingine.bado kuletewa viwanda vya baiskeli nakufunguliwa kwa mahakama ya kibiashara tu ili mikataba itimie
 
Unajua maana ya ukoloni?

Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..

SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..

Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..

SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...

Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,

Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%

Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri
Ukoloni hauji kwa mabavu na nguvu ya kijeshi tu hata kupitia mikataba rudia kusoma historia vizuri. Waafrika hatuwezi kuwa subjected kwenye ukoloni kisa watu fulani wameingia mikataba ya hovyo hiyo ni akili ya ajabu na nitakushangaa ukiona hii ni usawa. Na hamna muda muafaka wa kuwa hizi blocks AU au SADC kama sasa nchi moja moja haziwezi kukabiliana na hizi nchi kubwa au taasisi zao kama hiyo mahakama kimataifa ambazo zinashughulika na hizi nchi ndogo.
 
Kwani wakati mnasaini mikataba ya kuomba mikopo mnakuwa mmelewa? Hivi nyie waafrica mnaakili kweli?

Hakuna taasisi yoyote inayo weza kuingilia haya mambo ya mikataba.

Hivi uliskia hotuba ya rais wa S.Africa huko china juzi?

Ungekuwa umeskia usengesema kuhusiana na hayo mambo ya sijui SADC,AU

Hapo hakuna ukoloni ni makubaliano ya pande mbili, kukubali au kutokubali hulazimishwi iweje useme ni ukoloni?
 
Unajua maana ya ukoloni?

Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..

SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..

Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..

SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...

Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,

Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%

Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri
Maeneo mengi Tanzania yalichukuliwa bila hata kupigana baada ya kugundua kuwa hawakuwa na nguvu za kushindana na wakoloni na hasa baada ya kuona wababe akina Mtwa Mkwawa, Mtemi Isike, Mangi Meli, Mtemi Tagaralla, Machemba, Abushir, etc, etc, etc.
Je, umesahau eneo la Msovero Kilosa, lilivyochukuliwa na Wajerumani kupitia Mkataba wa Kilaghai wa Carl Peters dhidi ya Sultan Mangungo?
So ukoloni haukuwa wa mabavu tu bali hata kwa mikataba.
 
Unajua maana ya ukoloni?

Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..

SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..

Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..

SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...

Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,

Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%

Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri
Bandari ya Bagamoyo ilishtukiwa na imeshapigwa chini!
 
Kasome mkataba aliyoisaini mkwele kwa taarifa yako wachina hawaitambui kwa jina la bandari ya Bagamoyo ishapewa jina lingine.bado kuletewa viwanda vya baiskeli nakufunguliwa kwa mahakama ya kibiashara tu ili mikataba itimie
leta evidence!
 
Nchi yetu Tanzania hatushindwi kuwalipa hii mijamaa walahi!
 
Maeneo mengi Tanzania yalichukuliwa bila hata kupigana baada ya kugundua kuwa hawakuwa na nguvu za kushindana na wakoloni na hasa baada ya kuona wababe akina Mtwa Mkwawa, Mtemi Isike, Mangi Mangi, Mtemi Tagaralla, Machemba, Abushir, etc, etc, etc.
Je, umesahau eneo la Msovero Kilosa, lilivyochukuliwa na Wajerumani kupitia Mkataba wa Kilaghai wa Carl Peters dhidi ya Sultan Mangungo?
So ukoloni haukuwa mabavu tu bali hata kwa mikataba.
Hayo ni makubaliano ya pande zote mbili, hulazimishwi kukubali utakapo ridhika unatia saini bila kushurutishwa. Sasa wewe utasemaje ni ukoloni?

Kama mnataka vunjeni mahusiano ya kibiashara na china tubaki na Ulaya/wazungu
 
Bandari ya Bagamoyo ilishtukiwa na imeshapigwa chini!
Walipigwa chini lakini walikuja kuambiwa go ahead, uwe unafuatilia mambo chief

Wale waarabu wa Loliondo wanamkataba wa miaka 99, haha Tanzania bhana

Waziri wa mali asili Kingwala alikuja kwa mbwembwe hakuwa anajua kama wangemfunga, kama siyo wazee kuja kumwambia aachane nao atakuja kuliingizia hili taifa hasara, tungepelekwa mahakamani
 
Back
Top Bottom