Baada ya Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² sasa inaenda Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ, China πŸ‡¨πŸ‡³ is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊


Una ushahidi kwa unachokizungumzia au kuwepo kaskazini tu imekuwa tabu sasa!!!
 
Unaona ni bora ukae umeshikilia tatizo kuliko suluhisho. Sijasikiliza hotuba ya Ramaphosa lakini kama ana the same stance kama wewe basi ana upofu kama wewe. Jiulize kwanini EU wameenda kuwa bail out wagiriki japo walikopa wakifahamu fika watajikuta kwenye matatizo, kwanini Marekani wali bail out Wall street companies wakati mabenki yalikuwa yanatoa mikopo ya nyumba kwa watu ambao hawakopesheki , kwanini Trump anajitoa kwenye Iran nuclear deal na kuwalazimisha Wacanada na Mexico ku rectify mikataba ya NAFTA (japo napinga policy za Trump)? Kwahiyo hawa wote wakati wanaingia hiyo mikataba walikuwa wamelewa? Acha kuishi kwa kukariri hii mikataba yote inaweza kuvunjwa au kurekebishwa cha msingi inabidi uwe na nguvu wakati unaenda kwenye meza ya makubaliano na hiyo inaweza kutokea kama hii mikataba ikajadiliwa kupitia mgongo wa AU au SADC, binafsi sijawahi kuelewa sisi waafrika tunasubiri nini kuanza kutumia hizi taasisi sioni tukifanikiwa nchi moja moja dhidi ya blocks kubwa kama EU, US na China.
 
Hii, ujinga gani ww mjinga, mchina na gesi ya mtwara wapi na wapi ewe nyumbu. Embu fuatilia hii mambo bhana, usitutie aibu humu home of great thinkers
Na shangaa watu hawajui vizuri mikataba ya gas.. Ni makampuni ya statoil na exxon mobil ambayo hayahusiani na china hata kidogo.. Na hao mikataba yenyewe zitto ameiweka twiiter mkitaka mkajisomee kuna sehemu Tz tunapata hadi 85% na kuna sehemu tz inapata hadi 30%..depending na gas inavyopatikana.. au ntafanya niitume humu
 
Reactions: Oii
hahahahahaahahahahahhahhah.....hao wachina wachukie zile dreamliner za kq ambazo zilikopwa kwa wazungu ili kufidia deni , pesa zisipotosha wachukue na conty moja huko kenya kumaliza deni...


nashauri tu😎😎😎
 
Bora mikopo ya WB, IMF na USA au Westerners wao ukifata masharti yao hawatakusumbua
Wachina wapuuzi mikopo yao ni ya muda mfupi
 
Kweli tupu
 
Kasome mkataba aliyoisaini mkwele kwa taarifa yako wachina hawaitambui kwa jina la bandari ya Bagamoyo ishapewa jina lingine.bado kuletewa viwanda vya baiskeli nakufunguliwa kwa mahakama ya kibiashara tu ili mikataba itimie
Ujinga huu.soma uelimike sio umbeya
 
bandari ya bagamoyo hapana maana Mzee kicha.a alisitisha mpaka upembuzi ufanyike upya ,hata SGR yetu ilikua wachina waifadhili % mia tena Kwa gharama mara mbili ya hizi anazotarajia kuzitumia JPM so kwakiasi flani hatuna mikopo mikubwamikibwa na China maana hata mkopo Wa SGR ilikua tuchuke China kwenye bank yao ya Exim kama trillion 15 hivi so baada ya kufuta na kureview gharama wakatunyima mkopo hahahahaha Huyu ndo China aisee
 
SRG ya kenya hadi wanatia huruma, hadi mfungua gate ni mchina, wanaitana na kujazana

Viongozi wa africa wanawapenda wachina sababu hawaingilii mambo ya ndani ya nchi za africa
 
Unaujua ukoloni mambo leo..hawatumii mabavu wanatumia akili
 
Kitu ambacho nimekiona kwa watanzania au afrika kwa ujumla kwanza tunapnda kujiweka pembeni na kudhihirisha waliotuingiza mikengeni,,halafu watanzania wengi wetu tunazkimbia hali zetu ambazo mbaya kwa mfano
1.mikataba mibovu
2.madeni
3.miundo mbinu mibovu
Inshot watanzania hatujikubaliii yani kila kitu tunaona kimekosewaa yani wengi hatujiamnini na kile ambacho viongozi wetu wamekosea na baadhi kupatia licha ya kuwa kwa kiasi chake mengi yamekosewaa.
Kwakweli inatakiwa kubadilikaa na kujiamini tumekuwa watu wa kujua makosaa na kushindwa kujisifia hata kwa baadhi....yaliyo mzuriiii...
 


Auditor General warns that China may take over operations of Kenya Ports Authority if Kenya Railway is unable to offset SGR loans!!!

Confirmation that Mombasa port and other KPA assets are collateral for the SGR loan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…