mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Walipigwa chini lakini walikuja kuambiwa go ahead, uwe unafuatilia mambo chief
Wale waarabu wa Loliondo wanamkataba wa miaka 99, haha Tanzania bhana
Waziri wa mali asili Kingwala alikuja kwa mbwembwe hakuwa anajua kama wangemfunga, kama siyo wazee kuja kumwambia aachane nao atakuja kuliingizia hili taifa hasara, tungepelekwa mahakamani
Una ushahidi kwa unachokizungumzia au kuwepo kaskazini tu imekuwa tabu sasa!!!