Baada ya Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² sasa inaenda Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ, China πŸ‡¨πŸ‡³ is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊

Badae ndo tutajua umuhimu wa miradi ya maendeleo. Mwendo kasi tu mataifa mengi yameshakuja Tz kuiga sema tu nao wenye mabasi wanazingua mabasi machache watu kibao.
 

Kama vigogo wa Kenya wanagawana mapato wanayokusanya badala ya kurejesha mkopo Mchina afanye nini ili arejeshe hela yake? Dawa na mkopo ni kulipa sio propaganda. Hivi hatujiulizi kwanini Marekani ambayo imekopeshwa na Mchina haiko kwenye hatihati za kushindwa kulipa?
 

Sijui lini utaachana na hizi fikra za ujima? Kwako kila kitu hakiwezekani, no wonder hata darasani unapiga disco.
 
that's the white elephant project. the major reason is, the inflation of cost. wakenya waliweka cha juu kuzidi maelezo.
the project revenue by itself will never refunds the cost.
 

Kichwa kibovu
 
The China-built, China-funded standard gauge railway, also known as the Madaraka Express, is a diesel-powered passenger and freight rail service connecting Nairobi and Mombassa. It construction was plagued by cost overruns, and outside observers questioned its economic viability, but China was not worried: after all, if the 80%-China funded project failed, Beijing would have full recourse.

Sure enough, SGR reported a 10 billion Kenyan shilling loss in its first year of operation, with current estimates that the railway generates about 600 billion Kenyan shilling in revenue.

Meanwhile, in addition to putting the port at risk for a Chinese takeover, at stake is also the Inland Container Depot in Nairobi, which receives and dispatches freight hauled on the new cargo trains from the sea port.

China To Take Over Kenya's Largest Port Over Unpaid Chinese Loan
 
The Kenyans in JF, are strongly and bitterly refute to this news.
 
China is very much welcome in Tz as well since the Western nations have started squeezing us slowly but surely.

Sent using Jamii Forums mobile app

actually we are tired with "dead aids". the continent has been receiving grants and aid in many forms for a half a century, but no remarkable achievement has been realised. so we need to try different thing. let's part with Chinese and see the aftermath.

even what is happening to Zambia and Kenya are (good) just a warning example. through that experience we can adjust ourselves on how to play with the Chinese. as matter of the fact, Chinese has the policy (of trading) towards Afrika and any other being of this planet earth (refer to the art of war). but unfortunately Afrika has no policy towards China or anybody in this world. this is why any treaty regarding collaboration of Afrika with other others is originated by the counterparts.
Africa needs self determination. not a place where anyone can tell what to do.
 
Ni dhahiri kwamba wengi wa Watanzagiza wagomvi hapa hawajawahi access loans. Hawajui maana ya collateral.
 

Wameenda kujitetea ili bandari yaMombasa isinyakuliwe. Halafu wanawadanganya wananchi kwamba wameenda kukopa pesa mingine.
 
Wameenda kujitetea ili bandari yaMombasa isinyakuliwe. Halafu wanawadanganya wananchi kwamba wameenda kukopa pesa mingine.
Hiyo pesa wameshaipigia soli sio chini ya mara 5, mchina kakomaa haongezi hata 10, mchina anaichukua mombasa kiulaini sasa ndio wanaenda kumuomba msamaha
 
Hiyo pesa wameshaipigia soli sio chini ya mara 5, mchina kakomaa haongezi hata 10, mchina anaichukua mombasa kiulaini sasa ndio wanaenda kumuomba msamaha

Ahaaa haaa haaa
Wanawadanganya WANANCHI eti wanaenda ku solicite fund.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…