Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli kama wenzetu wakenya ndo mdundo wa ngoma ya namna hii, sisi tutaweza kuicheza? Ina mana Kenya wakishindwa kulipa hili deni kama gazeti la Daily News linavyosema la leo tarehe 21/12/2018, bandari yao ya Mombasa mchina anachukua bila masiala?
December 2017 mwaka jana wanasema pia nchi ya Srilanka ilipoteza kuimiliki bandari yao inayoitwa "Hambantota" wachina wataimiliki kwa myaka 99 mpaka warudishe pesa yao.
Sasa, kwetu Wa Tz inatupa kiashiria gani?
Muafrika sijui kama ni binadamu mwenye sifa za kuitwa mwanadamu.
Hata katika Taifa la moja ka Afrika kuna kiongozi mmoja kaamua kutafuta sifa binafsi kwa kufanya makubwa mengi huku akitesa wananchi wake ila muafrika (mwanadamu duni) anashangilia bila kupima ulazima wala tija ya kutekeleza miradi yote hiyo kwa wakatI mmoja.
Muafrika sijui kama ni binadamu mwenye sifa za kuitwa mwanadamu.
Hata katika Taifa la moja ka Afrika kuna kiongozi mmoja kaamua kutafuta sifa binafsi kwa kufanya makubwa mengi huku akitesa wananchi wake ila muafrika (mwanadamu duni) anashangilia bila kupima ulazima wala tija ya kutekeleza miradi yote hiyo kwa wakatI mmoja.
China is very much welcome in Tz as well since the Western nations have started squeezing us slowly but surely.
Sent using Jamii Forums mobile app
If they hate this story so lovely, tell them to pay the Chinese and the story will disappear forever.The Kenyans in JF, are strongly and bitterly refute to this news.
Habari kutoka Zambia zinaeleza kuwa, China inakusudia kuchukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka kutokana na nchi hiyo kushindwa kulipa madeni. Tayari China imechukua Shirika la Umeme Zambia (ZESCO) na Shirika la Habari Zambia (ZNBC).
Hiyo pesa wameshaipigia soli sio chini ya mara 5, mchina kakomaa haongezi hata 10, mchina anaichukua mombasa kiulaini sasa ndio wanaenda kumuomba msamahaWameenda kujitetea ili bandari yaMombasa isinyakuliwe. Halafu wanawadanganya wananchi kwamba wameenda kukopa pesa mingine.
Hiyo pesa wameshaipigia soli sio chini ya mara 5, mchina kakomaa haongezi hata 10, mchina anaichukua mombasa kiulaini sasa ndio wanaenda kumuomba msamaha