Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
KWELI KABISA MKUUKenya assets risk seizure by Chinese — Moody's
A large segment of Kenya's Chinese debt is linked to construction of the Standard Gauge Railway (SGR).
Chinese debt stood at Ksh554.88 billion (5.4 billion) or 73.4 percent of total bilateral debt of Ksh756.28 billion (7.3 billion) at the end of September.
Kenya is among countries at the highest risk of losing strategic assets to China over the pile of debt it owes Beijing, global ratings firm Moody’s Investor Service has said in a newly-released report that has raised eyebrows in public finance circles.
Moody’s says in the report that China’s response to sub-Saharan Africa countries facing liquidity pressure has not been uniform or transparent - meaning predictability of credit implications are less clear.
“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.
Mali za Kenya hatarini kutaifishwa na China sababu ya madeni
Mkuu hakuna cha bure,ukisikia bure ujue no ghali mno yaani ata kuitamka inashindikanaHawa sio ndio wale wanatoa tu bila masharti yoyote? cc kidevu
Hujuma kwa nchi maskini kupitia mikopo haijaanzia kwa China, ni tangu enzi. Na mikataba tunaisign wenyewe, na wakati mwingine kwa hati za dharula. Kifupi tunatakiwa kujilaumu na kujihukumu, japo ujasiri huo hatuna.Asante kwa ushaur Mkuu,
Vipi unaweza kunipa reference za hiyo mikataba ya kimataifa niisome,ili kuondoa upopoma kichwan mwangu?
Pia nina swali,kwanini mataifa ya magharibi yamesaidia nchi zetu kwa mikopo mikubwa na kwa miaka mingi lakn hatukuwah kusikia kuhusu hizi mambo za kuchukua natural resources and other infrastructers,hii mikataba imeanza kuwa applied na China 2?
Na je kipindi wanatoa mikopo,(waChina),wanaweka na masharti hayo wazi kwenye mikataba yao?...kama ndivyo inamaana Rais wetu kadanganywa kwa kuaminishwa kwamba mikopo ya China ni 'conditionfree'?
Nawasilisha.
China hafungamani kivile na WB wao wana bank yao AIIBTangu lini hao wazungu wakawa na uchungu na Afrika? Wakati wanajificha nyuma ya World Bank kupora kila kitu mbona hawatoi tahadhari?
Naomba wakitoka Zambia wasiende Kenya kwanza waje Tanzania kutaifisha SGR, a white elephant at its worst which cost taxpayers trillions of money. Hapa Tanzania kuna miradi ya kiqumer inayowaingiza watanzania kwenye madeni makubwa sana na China. Yaani hii nchi imeoza na inanuka vibaya sana.Kenya assets risk seizure by Chinese — Moody's
A large segment of Kenya's Chinese debt is linked to construction of the Standard Gauge Railway (SGR).
Chinese debt stood at Ksh554.88 billion (5.4 billion) or 73.4 percent of total bilateral debt of Ksh756.28 billion (7.3 billion) at the end of September.
Kenya is among countries at the highest risk of losing strategic assets to China over the pile of debt it owes Beijing, global ratings firm Moody’s Investor Service has said in a newly-released report that has raised eyebrows in public finance circles.
Moody’s says in the report that China’s response to sub-Saharan Africa countries facing liquidity pressure has not been uniform or transparent - meaning predictability of credit implications are less clear.
“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.
Mali za Kenya hatarini kutaifishwa na China sababu ya madeni
Yaani wewe hata kwenye mambo ya msingi unaleta ukada na mipasho?utasubiri sana,haumbuki mtu
unadhani ni wajinga kwa kiasi hicho? Mikataba inasiniwa kabla hawajatoa fedha zaoHalafu wakivchukua watavhamishia kwao China au?
Waksema waviendeshe wao hapa nchini kwe2 tutawapa masharti magumu balaa....ka wakivtaka wang'oe ma sgr yao na wanyonye maji yote wapeleke kwao....
Ovaaa
Kabla mambo ya mambo ya Zambia na baadae Kenya, Hao wachina wameshachukua bandari moja sikumbuki nchi gani lakini ni hukohuko far East. Wameichukua kwa miaka 99 kulipia deni laoTusishangae bandari zetu zinachukuliwa mateka
una roho ya koroshoYaani wewe hata kwenye mambo ya msingi unaleta ukada na mipasho?
Mataifa ya Magharibi yalikataa kutoa mikopo mkubwa ya ujenzi wa miundo mbinu mikubwa kama inavyofanya China, huwa hawakubaliani na miradi wenyewe, wanadhani kwamba kwa sasa Africa ina matatizo ya umasikini, hatuna uwezo wa kulipa pesa nyingi kiasi hicho.Asante kwa ushaur Mkuu,
Vipi unaweza kunipa reference za hiyo mikataba ya kimataifa niisome,ili kuondoa upopoma kichwan mwangu?
Pia nina swali,kwanini mataifa ya magharibi yamesaidia nchi zetu kwa mikopo mikubwa na kwa miaka mingi lakn hatukuwah kusikia kuhusu hizi mambo za kuchukua natural resources and other infrastructers,hii mikataba imeanza kuwa applied na China 2?
Na je kipindi wanatoa mikopo,(waChina),wanaweka na masharti hayo wazi kwenye mikataba yao?...kama ndivyo inamaana Rais wetu kadanganywa kwa kuaminishwa kwamba mikopo ya China ni 'conditionfree'?
Nawasilisha.
Kwani unadhani nyie tu ndo mna haki ya kuwa obsessed na yule msaliti na watu wengine hawana hiyo haki!?Kuna watu ni too much obsessed na jiwe wanamuona anajua kila kitu lakini wallahi jiwe ni mshamba sana kwenye diplomatic economy soon tunaangukia pua nyie mnaomsifia mtajilaumu sana tujipe muda hadi June ijayo
Ujinga wako tu wa kulishwa vitu vya hovyo na ukishakula unatapika hovyo bila kutafakari. Ndiyo asili ya nyumbu hiyoKuna rais alisema jana china marafik wa kweli. Yeah nikatoa reference ya zambia.
Hakuna nchi inatoa pesa ya maendeleo.kwa.nchi za afrika bila kuwa na sababu maalum
Mataifa ya Magharibi yalikataa kutoa mikopo mkubwa ya ujenzi wa miundo mbinu mikubwa kama inavyofanya China, huwa hawakubaliani na miradi wenyewe, wanadhani kwamba kwa sasa Africa ina matatizo ya umasikini, hatuna uwezo wa kulipa pesa nyingi kiasi hicho.
Ni kweli kwamba nchi za magharibi zinaambatanisha mikopo na masharti mbalimbali, kama haki za binadamu, demokrasia, mambo ya mazingira na mambo mengine(mambo ambayo Mimi binafsi ninakubaliana nayo)
Suala la nchi kuachia vitu kama bandari kwa kushindwa kulipa deni, halipo katika mkataba, wala nchi hailazimishwi, hiyo inatokea baada ya nchi husika kuamua kwa hiari kutoa hizo Mali baada ya kushindwa kulipa. Actually lengo kubwa la Bank inayotoa mikopo ni kupata pesa yake, sio kujiingiza katika biashara za bandari au mashirika ya UMEME katika nchi za Africa, ambapo mashirika hayo mengi hayatengenezi faida.
Aah hapa huyu best friend analipa fadhila za kusaidiwa UN acha kufananisha Tanzania na vitu vya ajabu hao wakenya waisome namba tu si walishakula pesa za wazungu za kutoshaWewe tumia akili angalau kidogo basi huyo ndiyo mchina mnaye mpigia magoti na makofi lazima mtazitema hizo fedha zake