Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

Kenya assets risk seizure by Chinese — Moody's

A large segment of Kenya's Chinese debt is linked to construction of the Standard Gauge Railway (SGR).

Chinese debt stood at Ksh554.88 billion (5.4 billion) or 73.4 percent of total bilateral debt of Ksh756.28 billion (7.3 billion) at the end of September.

Kenya is among countries at the highest risk of losing strategic assets to China over the pile of debt it owes Beijing, global ratings firm Moody’s Investor Service has said in a newly-released report that has raised eyebrows in public finance circles.

Moody’s says in the report that China’s response to sub-Saharan Africa countries facing liquidity pressure has not been uniform or transparent - meaning predictability of credit implications are less clear.

“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.

Mali za Kenya hatarini kutaifishwa na China sababu ya madeni
KWELI KABISA MKUU
 
Asante kwa ushaur Mkuu,
Vipi unaweza kunipa reference za hiyo mikataba ya kimataifa niisome,ili kuondoa upopoma kichwan mwangu?
Pia nina swali,kwanini mataifa ya magharibi yamesaidia nchi zetu kwa mikopo mikubwa na kwa miaka mingi lakn hatukuwah kusikia kuhusu hizi mambo za kuchukua natural resources and other infrastructers,hii mikataba imeanza kuwa applied na China 2?
Na je kipindi wanatoa mikopo,(waChina),wanaweka na masharti hayo wazi kwenye mikataba yao?...kama ndivyo inamaana Rais wetu kadanganywa kwa kuaminishwa kwamba mikopo ya China ni 'conditionfree'?
Nawasilisha.
Hujuma kwa nchi maskini kupitia mikopo haijaanzia kwa China, ni tangu enzi. Na mikataba tunaisign wenyewe, na wakati mwingine kwa hati za dharula. Kifupi tunatakiwa kujilaumu na kujihukumu, japo ujasiri huo hatuna.
 
Hujanpa majibu niliyotegemea Mkuu,umenjibu kwa ufup na juujuu mno
 
Kenya assets risk seizure by Chinese — Moody's

A large segment of Kenya's Chinese debt is linked to construction of the Standard Gauge Railway (SGR).

Chinese debt stood at Ksh554.88 billion (5.4 billion) or 73.4 percent of total bilateral debt of Ksh756.28 billion (7.3 billion) at the end of September.

Kenya is among countries at the highest risk of losing strategic assets to China over the pile of debt it owes Beijing, global ratings firm Moody’s Investor Service has said in a newly-released report that has raised eyebrows in public finance circles.

Moody’s says in the report that China’s response to sub-Saharan Africa countries facing liquidity pressure has not been uniform or transparent - meaning predictability of credit implications are less clear.

“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.

Mali za Kenya hatarini kutaifishwa na China sababu ya madeni
Naomba wakitoka Zambia wasiende Kenya kwanza waje Tanzania kutaifisha SGR, a white elephant at its worst which cost taxpayers trillions of money. Hapa Tanzania kuna miradi ya kiqumer inayowaingiza watanzania kwenye madeni makubwa sana na China. Yaani hii nchi imeoza na inanuka vibaya sana.
 
Huko kote wanazunguka tu kuna mtu alikula samaki zao lazima atazitapika. Hata angejikomba kwao kwa kuwasifisifia wanamlia taimingi tu.
 
Halafu wakivchukua watavhamishia kwao China au?
Waksema waviendeshe wao hapa nchini kwe2 tutawapa masharti magumu balaa....ka wakivtaka wang'oe ma sgr yao na wanyonye maji yote wapeleke kwao....
Ovaaa
unadhani ni wajinga kwa kiasi hicho? Mikataba inasiniwa kabla hawajatoa fedha zao
 
Tusishangae bandari zetu zinachukuliwa mateka
Kabla mambo ya mambo ya Zambia na baadae Kenya, Hao wachina wameshachukua bandari moja sikumbuki nchi gani lakini ni hukohuko far East. Wameichukua kwa miaka 99 kulipia deni lao
 
Asante kwa ushaur Mkuu,
Vipi unaweza kunipa reference za hiyo mikataba ya kimataifa niisome,ili kuondoa upopoma kichwan mwangu?
Pia nina swali,kwanini mataifa ya magharibi yamesaidia nchi zetu kwa mikopo mikubwa na kwa miaka mingi lakn hatukuwah kusikia kuhusu hizi mambo za kuchukua natural resources and other infrastructers,hii mikataba imeanza kuwa applied na China 2?
Na je kipindi wanatoa mikopo,(waChina),wanaweka na masharti hayo wazi kwenye mikataba yao?...kama ndivyo inamaana Rais wetu kadanganywa kwa kuaminishwa kwamba mikopo ya China ni 'conditionfree'?
Nawasilisha.
Mataifa ya Magharibi yalikataa kutoa mikopo mkubwa ya ujenzi wa miundo mbinu mikubwa kama inavyofanya China, huwa hawakubaliani na miradi wenyewe, wanadhani kwamba kwa sasa Africa ina matatizo ya umasikini, hatuna uwezo wa kulipa pesa nyingi kiasi hicho.

Ni kweli kwamba nchi za magharibi zinaambatanisha mikopo na masharti mbalimbali, kama haki za binadamu, demokrasia, mambo ya mazingira na mambo mengine(mambo ambayo Mimi binafsi ninakubaliana nayo)

Suala la nchi kuachia vitu kama bandari kwa kushindwa kulipa deni, halipo katika mkataba, wala nchi hailazimishwi, hiyo inatokea baada ya nchi husika kuamua kwa hiari kutoa hizo Mali baada ya kushindwa kulipa. Actually lengo kubwa la Bank inayotoa mikopo ni kupata pesa yake, sio kujiingiza katika biashara za bandari au mashirika ya UMEME katika nchi za Africa, ambapo mashirika hayo mengi hayatengenezi faida.
 
Kuna watu ni too much obsessed na jiwe wanamuona anajua kila kitu lakini wallahi jiwe ni mshamba sana kwenye diplomatic economy soon tunaangukia pua nyie mnaomsifia mtajilaumu sana tujipe muda hadi June ijayo
Kwani unadhani nyie tu ndo mna haki ya kuwa obsessed na yule msaliti na watu wengine hawana hiyo haki!?
 
Kuna rais alisema jana china marafik wa kweli. Yeah nikatoa reference ya zambia.
Hakuna nchi inatoa pesa ya maendeleo.kwa.nchi za afrika bila kuwa na sababu maalum
Ujinga wako tu wa kulishwa vitu vya hovyo na ukishakula unatapika hovyo bila kutafakari. Ndiyo asili ya nyumbu hiyo
 
Mataifa ya Magharibi yalikataa kutoa mikopo mkubwa ya ujenzi wa miundo mbinu mikubwa kama inavyofanya China, huwa hawakubaliani na miradi wenyewe, wanadhani kwamba kwa sasa Africa ina matatizo ya umasikini, hatuna uwezo wa kulipa pesa nyingi kiasi hicho.

Ni kweli kwamba nchi za magharibi zinaambatanisha mikopo na masharti mbalimbali, kama haki za binadamu, demokrasia, mambo ya mazingira na mambo mengine(mambo ambayo Mimi binafsi ninakubaliana nayo)

Suala la nchi kuachia vitu kama bandari kwa kushindwa kulipa deni, halipo katika mkataba, wala nchi hailazimishwi, hiyo inatokea baada ya nchi husika kuamua kwa hiari kutoa hizo Mali baada ya kushindwa kulipa. Actually lengo kubwa la Bank inayotoa mikopo ni kupata pesa yake, sio kujiingiza katika biashara za bandari au mashirika ya UMEME katika nchi za Africa, ambapo mashirika hayo mengi hayatengenezi faida.

Kwa hili hujamaliza adha ya mikopo ya nchi za Magharibi. Umechagua yanayokidhi haja yako"

"Ni kweli kwamba nchi za magharibi zinaambatanisha mikopo na masharti mbalimbali, kama haki za binadamu, demokrasia, mambo ya mazingira na mambo mengine(mambo ambayo Mimi binafsi ninakubaliana nayo
 
Wewe tumia akili angalau kidogo basi huyo ndiyo mchina mnaye mpigia magoti na makofi lazima mtazitema hizo fedha zake
Aah hapa huyu best friend analipa fadhila za kusaidiwa UN acha kufananisha Tanzania na vitu vya ajabu hao wakenya waisome namba tu si walishakula pesa za wazungu za kutosha
 
Back
Top Bottom