Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

Hawa viazi watakuumiza kichwa bure.
Juzi crush wa bashite si kasema jamaa masharti yao mazuriiiii.

Yani kweli hata km mtu ana akili za kuazima atawezaje kusema wachina wana misaada mizuri.

Ili hali kabla ya kizazi chetu kupita watakuwa wameshachukua strategic nyingi sana za Africa.

Cha kufanya huko mbeleni ni kubadilisha katiba na wale wote walioleta ujinga wananyongwa kwa kamba.

Kama mtu alishakufa tunafukua na kumchoma.
..................
Cha kufanya huko mbeleni ni kubadilisha katiba na wale wote walioleta ujinga wananyongwa kwa kamba.

Kama mtu alishakufa tunafukua na kumchoma.

C&P
 
Mkuu unamaliza calories zako kujibizana na huyo msukule wa chakubanga
Mkuu kuna watu wana vichwa vya panzi au ni wana ubishi wa kuzaliwa, alifikiri hii habari nimeitunga, nikamwambia sijaandika mimi, akasema nimejitungia heading nikamletea link, akasema kwanini nime quote hii habari.

Ila nimemjibu kistaarabu ili na wengine wajifunze.
 
Inawezekana kuwa ni propaganda lkn kwa dunia ya sasa propaganda ndizo zimatawala dunia, lkn kiuhalisia Kenya inadaiwa na China deni kubwa.

Lakini mkuu Wachina wapo katika nchi nyingi za Africa, kwa nini RAIA wa Kenya na Zambia ndio walalamike tu - nimebahatika kutembelea nchi zote mbili kabla na baada ya ujio wa Wachina katika nchi hizo - tuwe wakweli Wachina wanefanya maahajabu sana katika Mataifa hayo in terms of infrastructure na viwanda - Zambia kwa mfano hali ya migodi yao ilikuwa mbaya sana lakini tangu Wachina waingilie kati mambo yamebadirika for the better, niliwahi kusoma sehemu eti Wachina wabataka kubinafisisha kituo cha Televison na Radio cha Serikali ya Zambia, mara Wachina wanataka kupora kiwanja cha ndege cha Lusaka Zambia, Mara oh.., kama Serikali ya Zambia inataka ku-run baadhi ya institutions zao kwa ubia na Wachina, kwani kuna ubaya gani?

Mbona Tanzania kwa mfano, kuna Kampuni zinaendeshwa kiubia na Serikali mfano: Kampuni ya Sigara, Kampuni ya TBL,Kumpuni ya StarTimes baina China na TBC, Swissport nk. Mbona hatujawahi kusikia vyombo vya habari vya magharibi Viki inanga Tanzania.
 
Mkuu kuna watu wana vichwa vya panzi au ni wana ubishi wa kuzaliwa, alifikiri hii habari nimeitunga, nikamwambia sijaandika mimi, akasema nimejitungia heading nikamletea link, akasema kwanini nine quote hii habari.

Ila nimemjibu kistaarabu ili na wengine wajifunze.
Usiwe unawa quote wasio na akili na kuleta vichwa vyao vya habari Jamii forums
 
Kichwa cha mada umeandika wewe habari yenyewe haiongelei kutaifisha au nationalization.Ila kwa uelewa wako mdogo hiyo habari wewe umeielewa kuwa ni kutaifisha!!!!!Ndio kwa huo uelewa wako mdogo below the sea level ukaweka kichwa kwenye mada yako kuwa ni kutaifisha.!!!!
“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.

Soma hapo kwenye ''bold'' Boss.
 
Mkuu kuna watu wana vichwa vya panzi au ni wana ubishi wa kuzaliwa, alifikiri hii habari nimeitunga, nikamwambia sijaandika mimi, akasema nimejitungia heading nikamletea link, akasema kwanini nine quote hii habari.

Ila nimemjibu kistaarabu ili na wengine wajifunze.
Umejaaliwa uvumilivu ningekuwa mimi angejuta
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.

Great Point Jombaa, Ningeulizwa mimi huu uwekezaji wa usafiri wa Moro to Dar ningeshauri zijengwe Nyumba za kupangisha kwa hawa middle class na serikali ingepiga hela pasipo mfano.

Sio kwamba hatutaki SGR ila tunaipenda sana na pia ni Kati ya moja ya maendeleo makubwa sana kwenye awamu hii ya tano.

Nyie vijana wa Lumumba sitaki kabisa kubishana na nyie kwasababu najua fika hamna point ila kutetea tu. mkumbuke tu sijapinga ujenzi wa SGR
 
Mbona Tanzania kwa mfano, kuna Kampuni zinaendeshwa kiubia na Serikali mfano: Kampuni ya Sigara, Kampuni ya TBL,Kumpuni ya StarTimes baina China na TBC, Swissport nk. Mbona hatujawahi kusikia vyombo vya habari vya magharibi Viki inanga Tanzania.
Mkuu kinachowaumiza wazungu ni kupigwa chini kibiashara na mchina mfano shirika la umeme la zambia ambalo wachina wamelichukua kuliendesha kabla ya mchina kila kitu kuanzia nyaya za umeme,transformer nk vilikuwa vinanunuliwa nchi za magharibi .Baada ya mchina kuchukua kila kitu kinatoka china.Hasira zao za kubwagwa kibiashara na mchina na kupoteza mapato ndio ku steam out frustration zao wanakuwa na hizo kampeni chafu za kuchafua china

,Kenya pia kwa miaka nenda rudi shirika la reli kenya vitu vyote vilikuwa vikitoka ulaya kuanzia mataaluma ya reli,vichwa vya treni mabehewa ,vipuri nk vyote kenya ilikuwa ikinunua ulaya mchina kaingia kenya kawapiga mateke wazungu kibiashara .Mihasira yao ndio wanahamishia kwenye propaganda za media.!!!!

Mzungu popote Afrika akipigwa teke na mchina kibiashara lazima abweke BBC,CNN ,MITANDAO YA KIJAMII NK

Fuatilia utaona kila mzungu mahali akipigwa teke kibiashara na mchina uone anavyobweka
 
“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.

Soma hapo kwenye ''bold'' Boss.
Hiyo bold ndio ilitakiwa iwe HEADING siyo hiyo aliyoweka mleta mada
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.
Kati ya SGR na wenye maroli nani anatoa ajira kwa wingi
 
Back
Top Bottom