Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

China ndie mkoloni mpya wa Africa naye tu marafiki wa kudumu wa raslimali zetu. Soon watachukua Bandari na uwanja wa ndege
Watakuchukua wewe na kizazi chako kabla hawaja mgusa MAMA TANZANIA
Maana wewe na kizazi chako ndio kafara yetu walahi
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.

Tanzania mbona tayari BOMBA LA GAS-ASILIA TOKA MTWARA ni mali ya WACHINA..!!
Kuna habari za kuaminika kwamba fedha aliyowekeza Mchina kujenga Bomba hilo ilikuwa ndefu na hivo kwa sasa analimiliki 100 pc mpaka siku fedha yake itakapotimia.....!!!Kama kuna mtu anabisha aniambie hiyo GAS ya kupikia ananunua kwa bei gani sokoni mtungi wa Kgs 6,15 n.k
Hilo Bomba la Gasasilia halina faida yoyote kwa Wabongo zaidi ya kuwanufaisha Wachina...!!!

Tukisema kwamba CHINA inaigeuza AFRIKA kuwa koloni lake kwa mlango wa nyuma watu wajinga wanakataa. But this is for real n' we've got it coming...!!!Ni swala la muda tu!
 
Hata hao marais wa zambia na Kenya wapo makina na walikuwa makini na walikuwa wanasifiwa na wafuasi wao kama nyinyi lkn leo hii wanalia na kusaga meno
Acha kujiogopesha kijana,rais wetu yuko makini sana.tofauti na hapo utaumia roho bure tu
 
Hapo ndiyo kuna tatizo lkn viongozi wetu wanacho jali ni kutimiza malengo yao ya leo kupitia mchina bila kujua kesho yetu itakuwaje
Jiwe anafurahia mikopo toka china kwa sabb haiambatani na masharti kama kutenda haki kwa wananchi wake, demokrasia, uwajibikaji, nk.

Hajajua kuwa wachina ni wabinafsi, wapo kibiashara zaidi, hata kama mtawala anakula watu wake wachina hawajali, wanaangalia maslahi yao tu.

Afu wachina hawana msamaha wa deni kama wazungu.. Ukishindwa kulipa wanakumiliki mazima!
 
Na wakati wanajilaumu watakuwa wamesha chelewa
Kuna watu ni too much obsessed na jiwe wanamuona anajua kila kitu lakini wallahi jiwe ni mshamba sana kwenye diplomatic economy soon tunaangukia pua nyie mnaomsifia mtajilaumu sana tujipe muda hadi June ijayo
 
Heading ndio inabeba mada nzima .kubali akili huna unaweka kichwa cha mada kutaifisha wakati habari haiongelei kutaifisha
Mimi nafikiri uelewa wako ni mdogo sana nimekwambia habari hajaandika Quinine huelewi, watu wengine mnakera sana au mna ubishi wa asili.

Mali za Kenya hatarini kutaifishwa na China sababu ya madeni

Screenshot_20181129-083232.png
 
halafu tuna watu wanatudanganya kwamba misaada ya China "wakiamua kukupa wanakupa tu!"

anajifanya mzalendo kumbe anauza nchi kwa China
 
Huo ndio uongozi usiyo kubalika kwani unaitwa uchumia tumbo
Kama mikataba ni ya muda mrefu, yani 30 to 40 years, lazima rais wetu ajidai, kwasababu muda watakapo kuwa wanataifisha rasilimali za taifa kufidia madeni, yeye hatokuwepo. Hivyo haoni tatizo kujisifia. Kwa maana halitakuwa tatizo lake, mkapa alipobinafsisha mashirika ya umma wakati wake alionekana genius, na alikuwa na sababu kedekede. Leo hata yeye anajutia uamuzi wake, lakini hana namna.
 
Hawa viongozi wanaliuza taifa letu kwa wachina kabisa
Viongozi wa afrika wana laana, mikopo wanachukuagizani, tena wanaenda kuchua kwa mchina asiyewafatilia ili wazipige, mfano hiyo SGR pesa inayokopwa kwa kudai ina riba na masharti nafuu, hiyo riba na hayo masharti nafuu hayasemwi ni yapi.

40% ya hiyo mikopo inakwenda mifukoni mwao, 60 inaenda kweny mradi. Ndio chanzo cha kifeli. Na mchina anapenda ufeli ndio maana akishakupa mkopo wske hafatiii tena hata kama pesa hizo unaenda kulewea pombe. Ndicho wanaona ni masharti nafuu.
 
Wewe ni sawa na faru john
Aaaa wapi utataifishwa wewe na kizazi chako kabla nchi yetu Tanzania walahi
Chadrama mcharuko kwishney
Nenda kamwone dj lupango, hamna lolote nyie walahi
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.
We're never going to be next, we're smarter under Magufuli, assume tungeendelea na sgr chini ya mchina kama kikwete alivyotaka.
Wewe najua huna jema kwa magufuli, ila mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
We would be next, kama wangetujengea sgr. But since you pray doom for your country, you just wish we're next so you can get the strength to bash Magufuli.
In your dreams idiot.
 
Tungekuwa na Kiongozi kama wewe Tanzania ingalituchukua Miaka 500 kumiliki ndege.
Ndugu uwekezaji wowote unafikiriwa kwa namna ya element za risk na kwakuwa lengo kubwa la biashara ni faida. Hizo ndio sababu watu utumia muda mwingi sana kufanya marketing research maamuzi ya kufanya investment ni kutokana na majibu ya research kuamua biashara ipo au la sio hisia za mtu.

Isitoshe inategemea unaingia kwenye biashara gani na soko la size la gani, muhimu kujua washidani wako faida yao ipo wapi ili wewe uweze kujua ni kiwango gani cha chini cha uwekezaji kinaitajika for you to stand a chance na strategy gani inakufaa kuingia nayo kupata wateja.

Leo ukiangalia kuna mashirika kama BA wao wenyewe wana ndege zaidi ya 400, wana routes ambazo wanajaza directly kutokana na sababu za kuwa London na huko wanapoenda ni miji ya kibiashara, kwa mwaka UK inapokea watalii zaidi ya 36m, , wana air miles credits na hotel as marketing strategy ili kupunguza bei za wateja wanaopanda ndege yao kushushiwa gharama za malazi, ku support hiyo biashara asilimia 70% ya mashirika yote ambayo yapo FTSE 100 yako within the 25 miles ya heathrow and gatwick airport ili wageni wasisumbuke lakini kuna wakati biashara ilikuwa inaingiza harasa shirika kauziwa IAG (International Airline Group, sasa sijui ata kama unajua ukubwa wa hii kampuni na strategy yao) achana na fact kwamba kujaza wateja wakimataifa pia sehemu zingine wanategemea strategic alliance ya 'oneworld'.

Sasa wewe na ndege yako moja utashindana kweli na hayo mashirika ya kimataifa, hao Rwanda ndege sasa hivi kama mali ya Ethiopia na bado kuna hasara kila mwaka vitu vingine ni kutupa hela za walipa kodi uamini waambie wakupe business strategy yao ya safari halafu upime makadirio ya mapato ya mbeleni kama watafikia kwa utaratibu huu, this was waste of tax payers money bora ajikite kujenga hizo reli na kuboresha bandari.
 
WACHINA NDO WAOKAGUKA TIKETI ZA ABIRIA NA MIZIGO YA SGR
JAMAA WANAPIGWA KINOMA NA WAPO HAPA WANAJINASIBU KWA MAENDELEO, WAKATI FEDHA ZIPO MIKONONI MWA WATU WACHACHE
 
Hata kule zambia vichwa ngumu walikuwa wanasema kama wewe lkn mwisho wake sasa hivi uwanja wa ndege siyo mali yao tena na zesco ipo chini ya futi 4
Tafuta basi orodha ya wanaodaiwa na china alafu ucompare.
Bongo tunadaiwa kidogo sana, hatupo hata top ten ya wadaiwa wa kiafrica
 
Back
Top Bottom