Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi habari zinazidi kumuumbua tu huyo mtu wenu.OBSESSED!
Mbona mnatumezea panadol kwa maumivi ambayo hatuna????
Unamwamini "Kichaa"?Kuna rais alisema jana china marafik wa kweli. Yeah nikatoa reference ya zambia.
Hakuna nchi inatoa pesa ya maendeleo.kwa.nchi za afrika bila kuwa na sababu maalum
utasubiri sana,haumbuki mtuHizi habari zinazidi kumuumbua tu huyo mtu wenu.
utasubiri sana,haumbuki mtu
Tatizo hakuumbwa na aibuHizi habari zinazidi kumuumbua tu huyo mtu wenu.
Hawa sio ndio wale wanatoa tu bila masharti yoyote? cc kidevu
CC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.

Hicho ndo kinasababisha watu wamtilie shaka kama kichwani zimetimiaTatizo hakuumbwa na aibu
Tumejipanga kamanda,tumeshaona wenzetu wananyolewaWewe tumia akili angalau kidogo basi huyo ndiyo mchina mnaye mpigia magoti na makofi lazima mtazitema hizo fedha zake
Tumejipanga kamanda,tumeshaona wenzetu wananyolewa
Si wali bid kwenye SGR,wakaweka bei juu sana,wakatuambia zingine watatukopesha tukakataa mchana kweupe ni bachicha ukiwemo wewe na Zitto mliofungua thread kumlaani Magufuli kwa kuwatosa ndugu zetu wachina.
Hatutaingia kichwa kichwa ni kwa miradi yenye teja ma kwa bei halisi sio za kupigwa
Endelea kujifariji tuKwa taarifa hiyo mikopo mliyokwisha ichukua kwa mchina wahhlah viwanja na bandari vitachukuliwa
Endelea kujifariji tu
Ni tofauti acha kuongea kwa kutia chumviHata kule zambia vichwa ngumu walikuwa wanasema kama wewe lkn mwisho wake sasa hivi uwanja wa ndege siyo mali yao tena na zesco ipo chini ya futi 4
Utalipa na nini?Ni tofauti acha kuongea kwa kutia chumvi
king kobra alikopa sana mikopo ya hovyo na hakuna kilichofanyika
Sisi tutakopa kwa sababu maalum na tutalipa
Kuna watu ni too much obsessed na jiwe wanamuona anajua kila kitu lakini wallahi jiwe ni mshamba sana kwenye diplomatic economy soon tunaangukia pua nyie mnaomsifia mtajilaumu sana tujipe muda hadi June ijayoNi tofauti acha kuongea kwa kutia chumvi
king kobra alikopa sana mikopo ya hovyo na hakuna kilichofanyika
Sisi tutakopa kwa sababu maalum na tutalipa