Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

Acha kujiogopesha kijana,rais wetu yuko makini sana.tofauti na hapo utaumia roho bure tu
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.
 
Mungu ibariki Tanganyika

Jiwe anafurahia mikopo toka china kwa sabb haiambatani na masharti kama kutenda haki kwa wananchi wake, demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, nk.

Hajajua kuwa wachina ni wabinafsi, wapo kibiashara zaidi, hata kama mtawala anakula watu wake wachina hawajali, wanaangalia maslahi yao tu.

Afu wachina hawana msamaha wa deni kama wazungu.. Ukishindwa kulipa wanakumiliki mazima!
 
Wewe tumia akili angalau kidogo basi huyo ndiyo mchina mnaye mpigia magoti na makofi lazima mtazitema hizo fedha zake
Tumejipanga kamanda,tumeshaona wenzetu wananyolewa
Si wali bid kwenye SGR,wakaweka bei juu sana,wakatuambia zingine watatukopesha tukakataa mchana kweupe ni bachicha ukiwemo wewe na Zitto mliofungua thread kumlaani Magufuli kwa kuwatosa ndugu zetu wachina.
Hatutaingia kichwa kichwa ni kwa miradi yenye teja ma kwa bei halisi sio za kupigwa
 
Kwa taarifa hiyo mikopo mliyokwisha ichukua kwa mchina wahhlah viwanja na bandari vitachukuliwa
Tumejipanga kamanda,tumeshaona wenzetu wananyolewa
Si wali bid kwenye SGR,wakaweka bei juu sana,wakatuambia zingine watatukopesha tukakataa mchana kweupe ni bachicha ukiwemo wewe na Zitto mliofungua thread kumlaani Magufuli kwa kuwatosa ndugu zetu wachina.
Hatutaingia kichwa kichwa ni kwa miradi yenye teja ma kwa bei halisi sio za kupigwa
 
Hata kule zambia vichwa ngumu walikuwa wanasema kama wewe lkn mwisho wake sasa hivi uwanja wa ndege siyo mali yao tena na zesco ipo chini ya futi 4
Ni tofauti acha kuongea kwa kutia chumvi
king kobra alikopa sana mikopo ya hovyo na hakuna kilichofanyika
Sisi tutakopa kwa sababu maalum na tutalipa
 
Utalipa na nini?
 
Ni tofauti acha kuongea kwa kutia chumvi
king kobra alikopa sana mikopo ya hovyo na hakuna kilichofanyika
Sisi tutakopa kwa sababu maalum na tutalipa
Kuna watu ni too much obsessed na jiwe wanamuona anajua kila kitu lakini wallahi jiwe ni mshamba sana kwenye diplomatic economy soon tunaangukia pua nyie mnaomsifia mtajilaumu sana tujipe muda hadi June ijayo
 
Back
Top Bottom