Baada ya Zambia zamu ya Kenya, China mbioni kutaifisha SGR kulipia deni

Kama mikataba ni ya muda mrefu, yani 30 to 40 years, lazima rais wetu ajidai, kwasababu muda watakapo kuwa wanataifisha rasilimali za taifa kufidia madeni, yeye hatokuwepo. Hivyo haoni tatizo kujisifia. Kwa maana halitakuwa tatizo lake, mkapa alipobinafsisha mashirika ya umma wakati wake alionekana genius, na alikuwa na sababu kedekede. Leo hata yeye anajutia uamuzi wake, lakini hana namna.
 
Kenya assets risk seizure by Chinese — Moody's

A large segment of Kenya's Chinese debt is linked to construction of the Standard Gauge Railway (SGR).

Chinese debt stood at Ksh554.88 billion (5.4 billion) or 73.4 percent of total bilateral debt of Ksh756.28 billion (7.3 billion) at the end of September.

Kenya is among countries at the highest risk of losing strategic assets to China over the pile of debt it owes Beijing, global ratings firm Moody’s Investor Service has said in a newly-released report that has raised eyebrows in public finance circles.

Moody’s says in the report that China’s response to sub-Saharan Africa countries facing liquidity pressure has not been uniform or transparent - meaning predictability of credit implications are less clear.

“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.
Viongozi wa afrika wana laana, mikopo wanachukuagizani, tena wanaenda kuchua kwa mchina asiyewafatilia ili wazipige, mfano hiyo SGR pesa inayokopwa kwa kudai ina riba na masharti nafuu, hiyo riba na hayo masharti nafuu hayasemwi ni yapi.

40% ya hiyo mikopo inakwenda mifukoni mwao, 60 inaenda kweny mradi. Ndio chanzo cha kifeli. Na mchina anapenda ufeli ndio maana akishakupa mkopo wske hafatiii tena hata kama pesa hizo unaenda kulewea pombe. Ndicho wanaona ni masharti nafuu.
 
Mzee baba kasema hawana masharti, siku tutakayoitwa Tanchin ndio tutayajua masharti yote
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.
Aaaa wapi utataifishwa wewe na kizazi chako kabla nchi yetu Tanzania walahi
Chadrama mcharuko kwishney
Nenda kamwone dj lupango, hamna lolote nyie walahi
 
China ndie mkoloni mpya wa Africa naye tu marafiki wa kudumu wa raslimali zetu. Soon watachukua Bandari na uwanja wa ndege
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.
Viongozi wa kiafrica hawafanyi vipaumbele vya wananchi ufanya vipaumbele vyao viwajengee umaarufu wa kisiasa kwa gharama za maumivu ya kodi za wananchi wao.wako radhi kufanya miradi mikubwa na kuendesha kwa ruzuku ili wajijenge kisiasa.
 
Jiwe anafurahia mikopo toka china kwa sabb haiambatani na masharti kama kutenda haki kwa wananchi wake, demokrasia, uwajibikaji, nk.

Hajajua kuwa wachina ni wabinafsi, wapo kibiashara zaidi, hata kama mtawala anakula watu wake wachina hawajali, wanaangalia maslahi yao tu.

Afu wachina hawana msamaha wa deni kama wazungu.. Ukishindwa kulipa wanakumiliki mazima!
China Pesa kwanza,hawana utu,wala huruma na MTU,Pesa kwao ndio mungu wao,ni heri tuwarudishe wakoloni weupe watutawale kuliko kutawaliwa na mchina.Wachina hawana mfumo wa kusaidia jamii inayowazunguka kama walivo Westerners.Ni wabinafsi,wachoyo kuliko maelezo
 
Ni tofauti acha kuongea kwa kutia chumvi
king kobra alikopa sana mikopo ya hovyo na hakuna kilichofanyika
Sisi tutakopa kwa sababu maalum na tutalipa
Utalipa na nini hali GDP hoi imekufa, export imekufa, chungu kimekauka,mashetani hawawezi inua uchumi, hadi mnaanzisha kodi za maji ya KISIMA, 25% mifuko ya jamii,kuinganisha mifuko ya jamii lengo kuu ni kuzuia kupunguza speed ya kuwalipa wanachama. Hio miradi haiwezi jilipa hali mzunguko wa hela Hakuna
 
Jiwe anafurahia mikopo toka china kwa sabb haiambatani na masharti kama kutenda haki kwa wananchi wake, demokrasia, uwajibikaji, nk.

Hajajua kuwa wachina ni wabinafsi, wapo kibiashara zaidi, hata kama mtawala anakula watu wake wachina hawajali, wanaangalia maslahi yao tu.

Afu wachina hawana msamaha wa deni kama wazungu.. Ukishindwa kulipa wanakumiliki mazima!
hakufurahia mkopo, alifurahia msaada, mkopo walikuja na masharti kibao kikwete almanusura atuingize mkenge ndio huyu jamaa akatokea
 
Utalipa na nini hali GDP hoi imekufa, export imekufa, chungu kimekauka,mashetani hawawezi inua uchumi, hadi mnaanzisha kodi za maji ya KISIMA, 25% mifuko ya jamii,kuinganisha mifuko ya jamii lengo kuu ni kuzuia kupunguza speed ya kuwalipa wanachama. Hio miradi haiwezi jilipa hali mzunguko wa hela Hakuna
Magufuli hajatunga kodi mpya toka aingie ndio kwanza amefyeka makodi ya hovyo
fyatilia hiyo hiyo kodi ya kisima alianzisha nani,halafu sheria ya maji ipo wazi kabisa,ukichimba kisima kwa ajili ya biashara lazima ulipe kodi,na sio kisima cha uwani kwako
 
utasubiri sana,haumbuki mtu

Alijisifia kwamba China anatoa msaada bila masharti yoyote. Hebu aweke ile mikataba 16 ya siri aliyoingia JK na wachina tujiridhishe kilichopo na yeye anachotuambia.
 
Tofautisha mikataba na mikopo
Halafu sio kila kitu cha serikali lazima bavicha muone
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.
kupindi hakuna hzo sgr, kila uwapo mdahalo wa viwanda watu waliropoka, 'ooh viwanda haviendelei kwasabu hakuna miundo, reli zilizopo haziendani na ujenzi wa uchumi wa vuwanda wa kisasa', sasa zinajengwa mumeanza maneno

ila haya maneno tunayatoa sie wananchi wa kawaida
wapigania fursa hutawasikia.
 
CC: Jiwe

Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.

Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k

We are the next.
Yetu nayo inakuja, ni kuhusu ile maktaba tuliyofungua juzi pale mlimani.
 
Tofautisha mikataba na mikopo
Halafu sio kila kitu cha serikali lazima bavicha muone

Tofauti yake iko wapi boss? Hakuna mwanacdm yoyote anayetaka kuona mambo ya ccm, lakini ya nchi ni lazima yawe wazi kwani yanatuhusu wote.
 
Back
Top Bottom