Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribuni kuwaskliza, maana hata wakoloni zama zile walikua wanauliza maswali unayoyauliza, kwamba tuwaache hawa Waafrika kwa lipi wanalo.
Huwa napitia nyuzi za Wazenji humu JF, hoja zao zina mashiko sana.
Hamna kitu kama hicho.
Alafu adui wa mzanzibar ni mzanzibar mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee kwa huo umri wako mbona unapenda kujiaibisha uonekane mpumbavu? Omba mwenyezi Mungu angalau akupe Hekima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuacha maana wakija waone unavyomwaga upupu watakuondolea, huwa nawaona wakipandisha mori sana kwenye jukwaa la siasa, yaani huwaona nyie kama wakoloni.
Ni kweli kabisa , mkiingilia siasa zetu mtapotea.. hizi siasa hata sisi wenyewe hatuzielewi ingawa tunacheza humu humu tu.
Usiingize Tanzania kwenye uchafu wenu.
Watu wa mombasa wanagoma kwa sababu wakienda akarantini hakuna wanachofanyiwa zaid kusubiri siku 21 wapewe bili walipe. Kuna video kibao watu waliopo huko wanalalamika mazingira mabovu, vyoo vihafu na vibovu, in short hakuna huduma yoyote wanayopatiwa, hata ukiwa mgonjwa. Mnalazwa ikifika siku unapewa bili ulipe kwa lazima au vitisho.
Serikali yenu ime pledge mabilioni ku fight covid19 ila hazionekani, kumbe zinaishia matumboni mwa viongozi. Kweli KE ni janga EAST AFRICA. lakini sishangai, kama majeshi ya nchi yanaiba pepsi tena vipi viongozi wala rushwa!
Usihangaikie ya jirani yako, yatatue ya nyumbani kwako kwanza, izo bilioni jengeni karantini sio kuwatupa watu kwenye magofu halafu kuwapa bili ya ajabu.Vipi Makonda ameanza kuwakamata wabunge wa upinzani waliopo Dar....hehehehe!!!
Hukuona wakenya wakilalamikia mabilioni hayajulikani yametukmika vip? wala hukuona wakenya wakilalamikia karantini?Niliona Zitto akimwambia thubutuuu...
Hukuona wakenya wakilalamikia mabilioni hayajulikani yametukmika vip? wala hukuona wakenya wakilalamikia karantini?
Bunge linaendelea mbona 😀Kama wabunge wenu hawangechukua hatua za kususia bunge, wangeendelea kupukutika, yaani tayari mumepoteza hadi waziri na bado mnafanyia utani kwa corona.