Baadhi Wakenya wa Mombasa, jameni acheni ukaidi, mtanasa kwenye siasa za Tanzania kichwa kichwa

Hamna kitu kama hicho.
Alafu adui wa mzanzibar ni mzanzibar mwenyewe
Jaribuni kuwaskliza, maana hata wakoloni zama zile walikua wanauliza maswali unayoyauliza, kwamba tuwaache hawa Waafrika kwa lipi wanalo.
Huwa napitia nyuzi za Wazenji humu JF, hoja zao zina mashiko sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiingize Tanzania kwenye uchafu wenu.

Watu wa mombasa wanagoma kwa sababu wakienda akarantini hakuna wanachofanyiwa zaid kusubiri siku 21 wapewe bili walipe. Kuna video kibao watu waliopo huko wanalalamika mazingira mabovu, vyoo vihafu na vibovu, in short hakuna huduma yoyote wanayopatiwa, hata ukiwa mgonjwa. Mnalazwa ikifika siku unapewa bili ulipe kwa lazima au vitisho.

Serikali yenu ime pledge mabilioni ku fight covid19 ila hazionekani, kumbe zinaishia matumboni mwa viongozi. Kweli KE ni janga EAST AFRICA. lakini sishangai, kama majeshi ya nchi yanaiba pepsi tena vipi viongozi wala rushwa!
 
Vipi Makonda ameanza kuwakamata wabunge wa upinzani waliopo Dar....hehehehe!!!
 
Usihangaikie ya jirani yako, yatatue ya nyumbani kwako kwanza, izo bilioni jengeni karantini sio kuwatupa watu kwenye magofu halafu kuwapa bili ya ajabu.
 
Niliona Zitto akimwambia thubutuuu...
 
Hukuona wakenya wakilalamikia mabilioni hayajulikani yametukmika vip? wala hukuona wakenya wakilalamikia karantini?

Kama wabunge wenu hawangechukua hatua za kususia bunge, wangeendelea kupukutika, yaani tayari mumepoteza hadi waziri na bado mnafanyia utani kwa corona.
 
Bunge linaendelea mbona 😀

Cha msingi ni kujiuliza mbona MSA karantini acha choo cha kukojolea kibovu wakati serikali imetoa mabilioni kupambana na corona 😀
 
Back
Top Bottom