Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
"AGRICULTURAL SEED AGENCY"
Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya kumaliza kazi wataandika Madokezo na Kisha kulipwa pesa zao ila hali imekuwa ni chungu sana Kwa sasa kwani malipo yanachukuwa zaidi ya miezi sita ama kutolipwa kabisa.
Ikumbukwe kuwa hii taasisi ina shughuli nyingi sana kama kusimamia uvunaji, kusafirisha mbegu kutoka Mashambani kwenda kwenye vituo vya mauzo Ila imekuwa changamoto kubwa sana, watumishi wanatumwa kazi ila pesa za posho hazilipwi.
WATUMISHI WA HII TAASISI HASA WALIOPO MASHAMBANI WANATESEKA JAMANI.