Baadhi ya askari hawana nia njema, wanawatesa wananchi na kudhulumu mali zao

Jeshi lote, kimfumo wake, ni wizi, dhuluma, rushwa kwa WaTz!
 
Wenzako wanahesabu nazi ww una hesabu makuti,anyway Lisu na Saanane ndio akina na nani na wana umuhimu gani kwa taifa hili na walifanywa nini,unaweza nisaidia mimi si wafaham.
Umuhimu wa hao watu ni utu wao, ubinadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…