Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Ukraine na washirika wake(west) walitumia miezi kadhaa kutoa mafunzo na siraha kwa kuandaa brigeds tisa mpya pamoja na brigedi za ziada ambazo zingefanya kazi kama reserve
Mahususi kwa ajili ya kufanya counteroffensive ili kuyarudisha nyuma majeshi ya Russia
Lakini hadi sasa kwa mujibu wa Forbes ni brigade tatu au nne pekee ndio zilizoonekana vitani , zingine hazijulikani zilipo, zimepotelea vitani (Missing in action), Brigade ya 117 ni mojawapo ya hizo brigade iliyopotelea vitani ambayo ilikuwa na;
-Askari 2000
-Magari ya 28 ya kubebea askari (Viking all-terrain vehicles ya muingereza )
-XA-185 wheeled personnel carriers, kutoka Finland zilikuwa 10
-M-113 tracked Personal carriers ya Marekani zilikuwa 20
-Vifaru 31 vya Poland (PT-91 tanks)
-Vikosi 12 vya mizinga midogo (Short range) aina ya D-30 towed howitzers
-Na mwisho ilikuwa na mizinga 12 ya masafa marefu aina ya AS-90 tracked howitzers mali ya muingereza.
Kwa wasio fahamu Brigade ni nini
Ni muunganiko wa troops (vikosi) ambao unakuwa na askari 3000 hadi 5000 pamoja na siraha nzito .