Baadhi ya Brigades za Ukraine hazijulikani zilipo

Baadhi ya Brigades za Ukraine hazijulikani zilipo

Mambo kama haya kwa viongozi wakuu wa Jeshi yanapaswa kusimamisha vitaa maana ni hatari kupoteza brigade nzima. Nasikia pia jana majenerali 2, maofisa washauri 50 pamoja na washauri 20 wa NATO wameteketezwa. Hii inatoa taswira mbaya sana kivita.

Kukaa chini na kuyajenga ndio suluhisho na sio kushupaza shingo
Nasikia, ukiwa wapi?
 
Ndio maana tunawasisitiza kila siku kwamba hakuna serious counteroffensive hambayo tayari imeanza hapo Ukraine.., subirini kichapo kamili, hii ni lashalasha tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
yaani we kweli ni kipanya yaani watu wanakufa huko ukraine wew wewe unajitia moyo eti hakuna counteroffensive sirious ilio anza huko .....
we sema hivi marekni na ulaya na ukraine hawana ubavu wa kusimama na THE MIGHT RUSSIA ..kwenye uwanja wa vita wacha visingizio vya kitoto ...
 
Bandar inapigwa mnada ww unaangaika na marekan ambao mapato ya robo jimbo moja ndo sw bajeti yenu miaka 2
alafu swala mapato tanzania na marekani ni tofauti wewe marekani imepata uhuru miaka kibao nyuma 1778 kama nimerong nenda guugo utajua marekni imezaliwa lini
sasa tanzania imepata uhuru juzi hapa 1960-61 ..alafu unataka kujilinganisha kimapato na marekani ilio kongwe...bruh uko seriouz kweli.....?
 
Hio ya mercenaries kuna mwanajeshi wa Ukraine alitoa boko kapost Instagram kasahau kuzima location wakati wanapata dinner missile ikaja kujumuika nao.

Wakaanza kusema Russia imeshambulia civilian building kumbe ndan kuikuwa na viongozi wa NATO na mercenaries kibao

Russia wameitawala Kwa asimia kubwa Sana hii vita

Mbona haimalizi sasa kama kaitawala
 
Hivi zelesky anawaza
nini Kwenye kichwa chake kwa sasa
 
Kinachofanyika sasa hivi ni just probing attacks kuona wapi adui ana nguvu na wapi ni dhaifu, counteroffensive Ile yenyewe rasmi haijaanza hata Putin alizungumza hili siku chache zilizopita.

Mpaka sasa Ukraine wameachia brigade 3 Kati ya 12,kuna brigade 9 hazipo uwanjani bado.

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom