Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kilichopotea ni vikosi vya UkraineMbona walimuomba sn Putin ila akakaza fuv
Mtapigana kwa silaha zipi?Ndio maana tunawasisitiza kila siku kwamba hakuna serious counteroffensive hambayo tayari imeanza hapo Ukraine.., subirini kichapo kamili, hii ni lashalasha tu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Habari ipi unataka chanzoCha
Chanzo cha hiyo habari tafadhali
hili jukwa la kimataifa mzee kama unataka kujua habari za bandar nenda majukwaa ya siasaBandar inapigwa mnada ww unaangaika na marekan ambao mapato ya robo jimbo moja ndo sw bajeti yenu miaka 2
Tuliambiwa na Amiri Jeshi wao mkuu kwamba "hivyo nivikosi vya utangulizi tu kwaajili yakupima kina cha maji,vikosi vya wapiga mbizi vitafuatia baadae" sasa labda muda wake bado, tuliza mshono mkuu...Ukraine na washirika wake(west) walitumia miezi kadhaa kutoa mafunzo na siraha kwa kuandaa brigeds tisa mpya pamoja na brigedi za ziada ambazo zingefanya kazi kama reserve
Mahususi kwa ajili ya kufanya counteroffensive ili kuyarudisha nyuma majeshi ya Russia
Lakini hadi sasa kwa mujibu wa Forbes ni brigade tatu au nne pekee ndio zilizoonekana vitani , zingine hazijulikani zilipo, zimepotelea vitani (Missing in action), Brigade ya 117 ni mojawapo ya hizo brigade iliyopotelea vitani ambayo ilikuwa na;
-Askari 2000
-Magari ya 28 ya kubebea askari (Viking all-terrain vehicles ya muingereza )
View attachment 2672938
-XA-185 wheeled personnel carriers, kutoka Finland zilikuwa 10
View attachment 2672944
-M-113 tracked Personal carriers ya Marekani zilikuwa 20
View attachment 2672943
-Vifaru 31 vya Poland (PT-91 tanks)
View attachment 2672947
-Vikosi 12 vya mizinga midogo (Short range) aina ya D-30 towed howitzers
View attachment 2672953
-Na mwisho ilikuwa na mizinga 12 ya masafa marefu aina ya AS-90 tracked howitzers mali ya muingereza.
View attachment 2673044
Kwa wasio fahamu Brigade ni nini
Ni muunganiko wa troops (vikosi) ambao unakuwa na askari 3000 hadi 5000 pamoja na siraha nzito .
![]()
iskander..m..Iskander.inanipa.burudaaani.sana
FantasyMambo kama haya kwa viongozi wakuu wa Jeshi yanapaswa kusimamisha vitaa maana ni hatari kupoteza brigade nzima. Nasikia pia jana majenerali 2, maofisa washauri 50 pamoja na washauri 20 wa NATO wameteketezwa. Hii inatoa taswira mbaya sana kivita.
Kukaa chini na kuyajenga ndio suluhisho na sio kushupaza shingo
Utakuwa darasa la 7BVita inakaribia mwisho hata ukisikia majigambo ya Zelensky mfano "Leo ni siku ya furaha". Yeye anapigana kwa nguvu ya NATO tu sasa hana alilonalo tena. NATO nako hali si nzuri kiuchumi na hata silaha zimewaishia.
Tangu lini mtu akaongoza uasi eti umeangusha ndege 13 za kivita halafu anahamishiwa nchi njyengine jiran na anajengewa kambi na pesa zake anapelekewa huko huko.Yarabiii, na lile dubwana sijui pizogwin linaenda kuwatokea kwa nyuma tena kimbwa mbwa ama kweli saluva ukarainiiii khah
You call it fantasy, unafahamu kusomesha mwanajeshi mmoka ina gharimu kiasi gani. Imagine brigade nzima na vifaa vyao vyote zidisha mara saba umepoteza vyote ndani ya mwezi mmoja. Kama hujui basi hujuiFantasy
Kuwabaka wazoefu wa kubakwa hakutawakomoa.Ila nasema wawabake tu maana hakuna namna.Na bado Lile jamaa linaenda kuwatokea kwa nyuma (belarus) litawabaka asubui tu
Watu hawatumii vizuri akil.Mchezo wa wazi kabisa.Tangu lini mtu akaongoza uasi eti umeangusha ndege 13 za kivita halafu anahamishiwa nchi njyengine jiran na anajengewa kambi na pesa zake anapelekewa huko huko.
Maumivu yake anatupasia.hili jukwa la kimataifa mzee kama unataka kujua habari za bandar nenda majukwaa ya siasa
afu hata kama bandari imepigwa mnada unafkiri wewe utawafanya nini walio piga mnada zaidi ya kupiga porojo kama hivi unalazimisha tuongelee bandari ..
mambo mengine yapo nje ya uwezo wako unayaacha yapite ..
unafuatailia uozo unaofanywa na serikali utakufa kwa presha ya moyo ndugu.......
💯🤝unafuatailia uozo unaofanywa na serikali utakufa kwa presha ya moyo ndugu.......