Baadhi ya Brigades za Ukraine hazijulikani zilipo

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Ukraine na washirika wake(west) walitumia miezi kadhaa kutoa mafunzo na siraha kwa kuandaa brigeds tisa mpya pamoja na brigedi za ziada ambazo zingefanya kazi kama reserve

Mahususi kwa ajili ya kufanya counteroffensive ili kuyarudisha nyuma majeshi ya Russia

Lakini hadi sasa kwa mujibu wa Forbes ni brigade tatu au nne pekee ndio zilizoonekana vitani , zingine hazijulikani zilipo, zimepotelea vitani (Missing in action), Brigade ya 117 ni mojawapo ya hizo brigade iliyopotelea vitani ambayo ilikuwa na;
-Askari 2000
-Magari ya 28 ya kubebea askari (Viking all-terrain vehicles ya muingereza )

-XA-185 wheeled personnel carriers, kutoka Finland zilikuwa 10


-M-113 tracked Personal carriers ya Marekani zilikuwa 20


-Vifaru 31 vya Poland (PT-91 tanks)


-Vikosi 12 vya mizinga midogo (Short range) aina ya D-30 towed howitzers


-Na mwisho ilikuwa na mizinga 12 ya masafa marefu aina ya AS-90 tracked howitzers mali ya muingereza.


Kwa wasio fahamu Brigade ni nini
Ni muunganiko wa troops (vikosi) ambao unakuwa na askari 3000 hadi 5000 pamoja na siraha nzito .
 

Attachments

  • Screenshot_20230628-220641.png
    146.4 KB · Views: 9
Vita inakaribia mwisho hata ukisikia majigambo ya Zelensky mfano "Leo ni siku ya furaha". Yeye anapigana kwa nguvu ya NATO tu sasa hana alilonalo tena. NATO nako hali si nzuri kiuchumi na hata silaha zimewaishia.
 
Mambo kama haya kwa viongozi wakuu wa Jeshi yanapaswa kusimamisha vitaa maana ni hatari kupoteza brigade nzima. Nasikia pia jana majenerali 2, maofisa washauri 50 pamoja na washauri 20 wa NATO wameteketezwa. Hii inatoa taswira mbaya sana kivita.

Kukaa chini na kuyajenga ndio suluhisho na sio kushupaza shingo
 
Cha
Chanzo cha hiyo habari tafadhali
 
Hio ya mercenaries kuna mwanajeshi wa Ukraine alitoa boko kapost Instagram kasahau kuzima location wakati wanapata dinner missile ikaja kujumuika nao.

Wakaanza kusema Russia imeshambulia civilian building kumbe ndan kuikuwa na viongozi wa NATO na mercenaries kibao

Russia wameitawala Kwa asimia kubwa Sana hii vita

 
Mbona walimuomba sn Putin ila akakaza fuv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…