Baadhi ya Brigades za Ukraine hazijulikani zilipo

Bandar inapigwa mnada ww unaangaika na marekan ambao mapato ya robo jimbo moja ndo sw bajeti yenu miaka 2
hili jukwa la kimataifa mzee kama unataka kujua habari za bandar nenda majukwaa ya siasa
afu hata kama bandari imepigwa mnada unafkiri wewe utawafanya nini walio piga mnada zaidi ya kupiga porojo kama hivi unalazimisha tuongelee bandari ..
mambo mengine yapo nje ya uwezo wako unayaacha yapite ..
unafuatailia uozo unaofanywa na serikali utakufa kwa presha ya moyo ndugu.......
 
Tuliambiwa na Amiri Jeshi wao mkuu kwamba "hivyo nivikosi vya utangulizi tu kwaajili yakupima kina cha maji,vikosi vya wapiga mbizi vitafuatia baadae" sasa labda muda wake bado, tuliza mshono mkuu...
 
Afu habar chanzo Ni mabeberu wenyewe[emoji28]
 
Fantasy
 
Vita inakaribia mwisho hata ukisikia majigambo ya Zelensky mfano "Leo ni siku ya furaha". Yeye anapigana kwa nguvu ya NATO tu sasa hana alilonalo tena. NATO nako hali si nzuri kiuchumi na hata silaha zimewaishia.
Utakuwa darasa la 7B
 
Yarabiii, na lile dubwana sijui pizogwin linaenda kuwatokea kwa nyuma tena kimbwa mbwa ama kweli saluva ukarainiiii khah
Tangu lini mtu akaongoza uasi eti umeangusha ndege 13 za kivita halafu anahamishiwa nchi njyengine jiran na anajengewa kambi na pesa zake anapelekewa huko huko.
 
You call it fantasy, unafahamu kusomesha mwanajeshi mmoka ina gharimu kiasi gani. Imagine brigade nzima na vifaa vyao vyote zidisha mara saba umepoteza vyote ndani ya mwezi mmoja. Kama hujui basi hujui
 
Kwa hali ile ya kwenda kama vile nyumbu wanaenda kunywa maji unategemea kutakuwa tena na Brigade.

Nilimsikiliza mkuu wao wa vikosi vya ardhini alikuwa anawatupia lawama wasaliti, baada ya kusema mbinu zao zimeferi yeye anakwambia kuna wanajeshi wametoa taarifa za siri kwa Warusi.

Mnajua kabisa mnapigana na mtu ambaye kwenye Anga yupo vizuri alafu nyie mnaenda kwa msafara kama vile mnaenda kuzika, mnategemea kitawakuta nini.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu lini mtu akaongoza uasi eti umeangusha ndege 13 za kivita halafu anahamishiwa nchi njyengine jiran na anajengewa kambi na pesa zake anapelekewa huko huko.
Watu hawatumii vizuri akil.Mchezo wa wazi kabisa.
 
Maumivu yake anatupasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…