Baadhi ya dalili za tatizo la afya ya akili

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.

Ukijiona una matumizi yaliyopitiliza, basi ujue afya ya akili haiko sawa, hivyo ukawaone wataalamu. Hapa kuna wale ambao wanapenda kutoa ofa tu ilimradi apate jina kwa wadau. Kama upo katika kundi hili, fanya jitihada uelekee Mirembe chap.

Ukijiona wewe unajifanya unajua kila jambo na hutaki kupokea mawazo mapya kutoka kwa watu wengine, ujue una shida pahala, kwa sababu hakuna anayejua kila kitu.

Ukijiona unapenda kuahidi mambo ukiwa na furaha, kisha baada ya furaha kuisha ukashindwa kutimiza ahadi yako, basi ujue una shida pahala, kwa sababu wenye afya njema ya akili hawaahidi mambo wakiwa na furaha au huzuni.

Ukiwa unakataa ndoa wakati umezaliwa katika ndoa, basi ujue kichwa yako haiko sawa pahala, kwa sababu kizazi bora chenye malezi bora kinapatikana katika ndoa.

Ukijua wewe ni mwanaume halafu unatumia ID ya kike au ukiwa ni mwanamke halafu unatumia ID ya kiume humu jamvini, basi ujue una shida mahala. Haraka sana waone wataalamu, maana ipo siku utajikuta unataka kubadili jinsia.

Ukijiona una comment katika uzi bila kusoma maudhui ya uzi huo, basi ujue una shida pahala. Mara nyingi utawakuta watu wanakiri kabisa kuwa hawajasoma uzi lakini wameamua kukomenti. Kama sio uchizi ni nini?

Anyways, mambo ni mengi lakini muda hautoshi.

Ni hayo tu!
 
images.jpeg
 
Kisaikolojoia kuahidi na kushindwa kutekeleza ni tabia ya kundi fulani la watu wenye mihemko fulani na hiyo haiusiani na shida ya afya ya akili wako timamu kabisa bila shida yoyote

Kukosoa, kusagia kunguni utawala ni kazi ya upinzani siyo shida kabisa

Mtu ambaye anawasifu wapinzani wake aangaliwe kwa makini hayuko sawa

Pia ukitaka kusifiwa tu bila kukosolewa kuna mahali una tatizo hauko sawa kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
mkuu umesema ila kwa maono yangu najinsi ninavyojua hili jambo na kulitafakari nimeona kuna kitu lakini ushauri wangu sina chochote cha kusema.shukrani
 
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.

Ukijiona una matumizi yaliyopitiliza, basi ujue afya ya akili haiko sawa, hivyo ukawaone wataalamu. Hapa kuna wale ambao wanapenda kutoa ofa tu ilimradi apate jina kwa wadau. Kama upo katika kundi hili, fanya jitihada uelekee Mirembe chap.

Ukijiona wewe unajifanya unajua kila jambo na hutaki kupokea mawazo mapya kutoka kwa watu wengine, ujue una shida pahala, kwa sababu hakuna anayejua kila kitu.

Ukijiona unapenda kuahidi mambo ukiwa na furaha, kisha baada ya furaha kuisha ukashindwa kutimiza ahadi yako, basi ujue una shida pahala, kwa sababu wenye afya njema ya akili hawaahidi mambo wakiwa na furaha au huzuni.

Ukiwa unakataa ndoa wakati umezaliwa katika ndoa, basi ujue kichwa yako haiko sawa pahala, kwa sababu kizazi bora chenye malezi bora kinapatikana katika ndoa.

Ukijua wewe ni mwanaume halafu unatumia ID ya kike au ukiwa ni mwanamke halafu unatumia ID ya kiume humu jamvini, basi ujue una shida mahala. Haraka sana waone wataalamu, maana ipo siku utajikuta unataka kubadili jinsia.

Ukijiona una comment katika uzi bila kusoma maudhui ya uzi huo, basi ujue una shida pahala. Mara nyingi utawakuta watu wanakiri kabisa kuwa hawajasoma uzi lakini wameamua kukomenti. Kama sio uchizi ni nini?

Anyways, mambo ni mengi lakini muda hautoshi.

Ni hayo tu!
Bila kuwasahau CHAPUTA
 
Mimi huamini wanaccm kujiona kuwa wana Mungu wao peke yao ni uendawazimu.
 
Back
Top Bottom