Baadhi ya dalili za tatizo la afya ya akili

Mental ill, furaha kipotiliza na matumizi yasio ya kawaida ni dalili za bipolar sio ugonjwa uliokamilika
Chief,,nimenukuu toka kwa wataalamu wa mirembe wakihojiwa na media moja ya online inayo heshimika hapa nchini,,,
 
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.

Ukijiona una matumizi yaliyopitiliza, basi ujue afya ya akili haiko sawa, hivyo ukawaone wataalamu. Hapa kuna wale ambao wanapenda kutoa ofa tu ilimradi apate jina kwa wadau. Kama upo katika kundi hili, fanya jitihada uelekee Mirembe chap.

Ukijiona wewe unajifanya unajua kila jambo na hutaki kupokea mawazo mapya kutoka kwa watu wengine, ujue una shida pahala, kwa sababu hakuna anayejua kila kitu.

Ukijiona unapenda kuahidi mambo ukiwa na furaha, kisha baada ya furaha kuisha ukashindwa kutimiza ahadi yako, basi ujue una shida pahala, kwa sababu wenye afya njema ya akili hawaahidi mambo wakiwa na furaha au huzuni.

Ukiwa unakataa ndoa wakati umezaliwa katika ndoa, basi ujue kichwa yako haiko sawa pahala, kwa sababu kizazi bora chenye malezi bora kinapatikana katika ndoa.

Ukijua wewe ni mwanaume halafu unatumia ID ya kike au ukiwa ni mwanamke halafu unatumia ID ya kiume humu jamvini, basi ujue una shida mahala. Haraka sana waone wataalamu, maana ipo siku utajikuta unataka kubadili jinsia.

Ukijiona una comment katika uzi bila kusoma maudhui ya uzi huo, basi ujue una shida pahala. Mara nyingi utawakuta watu wanakiri kabisa kuwa hawajasoma uzi lakini wameamua kukomenti. Kama sio uchizi ni nini?

Anyways, mambo ni mengi lakini muda hautoshi.

Ni hayo tu!
Pia ukiona mtu anachambua wenzake kama wewe kwamba yeye anajua sana ujue una afya ya akili wahi Mirembe upewe namba ya kumuona daktari
 
Kisaikolojoia kuahidi na kushindwa kutekeleza ni tabia ya kundi fulani la watu wenye mihemko fulani na hiyo haiusiani na shida ya afya ya akili wako timamu kabisa bila shida yoyote

Kukosoa, kusagia kunguni utawala ni kazi ya upinzani siyo shida kabisa

Mtu ambaye anawasifu wapinzani wake aangaliwe kwa makini hayuko sawa

Pia ukitaka kusifiwa tu bila kukosolewa kuna mahali una tatizo hauko sawa kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Pia ukiona mtu anachambua wenzake kama wewe kwamba yeye anajua sana ujue una afya ya akili wahi Mirembe upewe namba ya kumuona daktari
NAdhani haupo sahihi,kwasababu mimi nimeeleza walichosema wataalamu,sasa kama hilo ni tatizo basi ntakuwa nina shida mahala
 
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.

Ukijiona una matumizi yaliyopitiliza, basi ujue afya ya akili haiko sawa, hivyo ukawaone wataalamu. Hapa kuna wale ambao wanapenda kutoa ofa tu ilimradi apate jina kwa wadau. Kama upo katika kundi hili, fanya jitihada uelekee Mirembe chap.

Ukijiona wewe unajifanya unajua kila jambo na hutaki kupokea mawazo mapya kutoka kwa watu wengine, ujue una shida pahala, kwa sababu hakuna anayejua kila kitu.

Ukijiona unapenda kuahidi mambo ukiwa na furaha, kisha baada ya furaha kuisha ukashindwa kutimiza ahadi yako, basi ujue una shida pahala, kwa sababu wenye afya njema ya akili hawaahidi mambo wakiwa na furaha au huzuni.

Ukiwa unakataa ndoa wakati umezaliwa katika ndoa, basi ujue kichwa yako haiko sawa pahala, kwa sababu kizazi bora chenye malezi bora kinapatikana katika ndoa.

Ukijua wewe ni mwanaume halafu unatumia ID ya kike au ukiwa ni mwanamke halafu unatumia ID ya kiume humu jamvini, basi ujue una shida mahala. Haraka sana waone wataalamu, maana ipo siku utajikuta unataka kubadili jinsia.

Ukijiona una comment katika uzi bila kusoma maudhui ya uzi huo, basi ujue una shida pahala. Mara nyingi utawakuta watu wanakiri kabisa kuwa hawajasoma uzi lakini wameamua kukomenti. Kama sio uchizi ni nini?

Anyways, mambo ni mengi lakini muda hautoshi.

Ni hayo tu!
Ukiona unaanza kutukana watu bila sababu za msingi kisa umesoma na una vidigrii vyako wewe mirembe inakuhusu, ukiona unasumbuasumbua sana watu kwa kuwabughudhi tu safari ya kulazwa I.CU ya mirembe inakuhusu
 
Kuna wale ambao mike ya kuongelea kwenye simu na ndiyo hiyo hiyo wanasikilizia,,,aisee wananikeraa hatar
 
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.

Ukijiona una matumizi yaliyopitiliza, basi ujue afya ya akili haiko sawa, hivyo ukawaone wataalamu. Hapa kuna wale ambao wanapenda kutoa ofa tu ilimradi apate jina kwa wadau. Kama upo katika kundi hili, fanya jitihada uelekee Mirembe chap.

Ukijiona wewe unajifanya unajua kila jambo na hutaki kupokea mawazo mapya kutoka kwa watu wengine, ujue una shida pahala, kwa sababu hakuna anayejua kila kitu.

Ukijiona unapenda kuahidi mambo ukiwa na furaha, kisha baada ya furaha kuisha ukashindwa kutimiza ahadi yako, basi ujue una shida pahala, kwa sababu wenye afya njema ya akili hawaahidi mambo wakiwa na furaha au huzuni.

Ukiwa unakataa ndoa wakati umezaliwa katika ndoa, basi ujue kichwa yako haiko sawa pahala, kwa sababu kizazi bora chenye malezi bora kinapatikana katika ndoa.

Ukijua wewe ni mwanaume halafu unatumia ID ya kike au ukiwa ni mwanamke halafu unatumia ID ya kiume humu jamvini, basi ujue una shida mahala. Haraka sana waone wataalamu, maana ipo siku utajikuta unataka kubadili jinsia.

Ukijiona una comment katika uzi bila kusoma maudhui ya uzi huo, basi ujue una shida pahala. Mara nyingi utawakuta watu wanakiri kabisa kuwa hawajasoma uzi lakini wameamua kukomenti. Kama sio uchizi ni nini?

Anyways, mambo ni mengi lakini muda hautoshi.

Ni hayo tu!
🤣🤣🤣
 
Ukiwa na multiple IDS hapa jamvini na zote zinachangia topiki kwa siku iyo husika wahi mirembe , Ukiposti uzi kisha ukaanza kujijibu kwa ids zako zingine I.C.U ya mirembe inakuhitaji
 
Ukiwa wewe ni mtu wa kutoa ushauri tu kila wakati pasipo hata kuombwa wahi haraka ukapate tiba Dodoma
 
Back
Top Bottom