Baadhi ya dalili za tatizo la afya ya akili

Bantu lady.. magonjwa ya akili na upungufu wa utimamu wa "hisia" sio ukichaa. Mental illness is not madness or craziness

Mtoa mada pia anatukosea kuhitimisha kuwa mtu fulani ni mgonnjwa wa akili kwa sababu ana dalili fulani. Ugonjwa ni mkusanyiko wa dalili kadhaa mfano. Mtu mwenye BIPOLAR huwaga na periodic energy, periodic depression and periodic happy (funny), anakuaga na matumiz ya hovyo ya pesa. Anapenda kujisifia kwa kitu ambacho hana. And so and so....

Mgonjwa kamili wa matatizo haya anakuwa na dalili nyingi zinazoendana na maruweruwe. Kuona au kusikia sauti zisizokuwepo na kuongea na kujibizana mwenyew au kukosa usingizi. Huwez tumia dalili moja ni kosa
 
Hoja yako imekosa weledi ulipotaja upinzani na kuonekana si ya kitaalamu bali ni mzaha tu. Si ya kitabibu kwa magonjwa ya akili na afya yake
 
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.

Ukijiona una matumizi yaliyopitiliza, basi ujue afya ya akili haiko sawa, hivyo ukawaone wataalamu. Hapa kuna wale ambao wanapenda kutoa ofa tu ilimradi apate jina kwa wadau. Kama upo katika kundi hili, fanya jitihada uelekee Mirembe chap.

Ukijiona wewe unajifanya unajua kila jambo na hutaki kupokea mawazo mapya kutoka kwa watu wengine, ujue una shida pahala, kwa sababu hakuna anayejua kila kitu.

Ukijiona unapenda kuahidi mambo ukiwa na furaha, kisha baada ya furaha kuisha ukashindwa kutimiza ahadi yako, basi ujue una shida pahala, kwa sababu wenye afya njema ya akili hawaahidi mambo wakiwa na furaha au huzuni.

Ukiwa unakataa ndoa wakati umezaliwa katika ndoa, basi ujue kichwa yako haiko sawa pahala, kwa sababu kizazi bora chenye malezi bora kinapatikana katika ndoa.

Ukijua wewe ni mwanaume halafu unatumia ID ya kike au ukiwa ni mwanamke halafu unatumia ID ya kiume humu jamvini, basi ujue una shida mahala. Haraka sana waone wataalamu, maana ipo siku utajikuta unataka kubadili jinsia.

Ukijiona una comment katika uzi bila kusoma maudhui ya uzi huo, basi ujue una shida pahala. Mara nyingi utawakuta watu wanakiri kabisa kuwa hawajasoma uzi lakini wameamua kukomenti. Kama sio uchizi ni nini?

Anyways, mambo ni mengi lakini muda hautoshi.

Ni hayo tu!
Ulivyoandika tu kwamba hujui wanachama wangapi wa upinzani wataenda Milembe,nikamaizi kumbe wewe ndiye kichaa mwenyewe uliyemuelezea.Nikuulize;Ni lini CCM waliwahi kukubali hoja za wakinzani wao hadharani?Na wao ni vichaa?
 
Je kutokana na maelezo yako, huoni huyo mtu hayupo sawa mahala?

Katika mada yangu kuna baadhi ya mambo yamesemwa na wataalamu wa mirembe,,ikiwemo kupinga kila kitu,furaha ya kupitiliza,matumizi yasiyo ya kawaida
 
Baadhi ya dalili za tatizo la afya ya akili yanaweza kujumuisha:

1. Mabadiliko ya hali ya kiakili na kihisia:
- Huzuni, wasiwasi, hofu, hasira na hisia nyingine zinazogharimu.
- Mabadiliko ya hali ya moyo na hali ya kunyanyasika.
- Kuchanganyikiwa, kukosa uwezo wa kufikiri waziwazi, au kukosa umakini.

2. Mabadiliko ya tabia na mienendo:
- Kukaa kimya na kujitenga na watu.
- Mabadiliko ya tabia za kila siku, kama vile kulala au kula kupita kiasi.
- Mabadiliko ya mienendo, kama vile kutokuwa na hamu ya kushiriki katika shughuli zilizozoeleka.

3. Mabadiliko ya mwili na afya:
- Maumivu ya kichwa, maumivu katika sehemu mbalimbali za mwili.
- Mabadiliko ya uzito, kama kupungua au kuongezeka.
- Matatizo ya kulala, kama kulala muda mrefu au kukosa usingizi.

4. Matatizo ya kazi na mahusiano:
- Kushindwa kufanya kazi au shughuli za kawaida.
- Matatizo katika mahusiano na watu wengine, kama familia na marafiki.
- Kushindwa kutimiza majukumu na wajibu.

5. Kujidhuru au kujiua:
- Mawazo ya kujidhuru au kujiua.
- Hali ya kuwaza au kujaribu kujiua.

Ni muhimu kutambua kuwa dalili hizi zinaweza kutofautiana kwa kila mtu na pia kuwa na viwango tofauti ya ukali. Inapaswa kutembelewa na mtaalamu wa afya ya akili ili kupata ushauri na matibabu yanayofaa.
 
Nimeta upinzani kama case study,,,mpinzani anapopinga kila jambo lililofanywa na serikali na wakati linaonekana wazi,je huyo yupo sawa?
Mnaweza ona mada yangu imekaa kiutani utani lkn ni serious ishu,,kupinga kila jambo wkt ni kweli ni tatizo la afya ya akili,ni maneno ya wataalamu wa mirembe
 
Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe.

Ukijiona una matumizi yaliyopitiliza, basi ujue afya ya akili haiko sawa, hivyo ukawaone wataalamu. Hapa kuna wale ambao wanapenda kutoa ofa tu ilimradi apate jina kwa wadau. Kama upo katika kundi hili, fanya jitihada uelekee Mirembe chap.

Ukijiona wewe unajifanya unajua kila jambo na hutaki kupokea mawazo mapya kutoka kwa watu wengine, ujue una shida pahala, kwa sababu hakuna anayejua kila kitu.

Ukijiona unapenda kuahidi mambo ukiwa na furaha, kisha baada ya furaha kuisha ukashindwa kutimiza ahadi yako, basi ujue una shida pahala, kwa sababu wenye afya njema ya akili hawaahidi mambo wakiwa na furaha au huzuni.

Ukiwa unakataa ndoa wakati umezaliwa katika ndoa, basi ujue kichwa yako haiko sawa pahala, kwa sababu kizazi bora chenye malezi bora kinapatikana katika ndoa.

Ukijua wewe ni mwanaume halafu unatumia ID ya kike au ukiwa ni mwanamke halafu unatumia ID ya kiume humu jamvini, basi ujue una shida mahala. Haraka sana waone wataalamu, maana ipo siku utajikuta unataka kubadili jinsia.

Ukijiona una comment katika uzi bila kusoma maudhui ya uzi huo, basi ujue una shida pahala. Mara nyingi utawakuta watu wanakiri kabisa kuwa hawajasoma uzi lakini wameamua kukomenti. Kama sio uchizi ni nini?

Anyways, mambo ni mengi lakini muda hautoshi.

Ni hayo tu!
Vipi wale wanaokubali kila jambo?
 
Ulivyoandika tu kwamba hujui wanachama wangapi wa upinzani wataenda Milembe,nikamaizi kumbe wewe ndiye kichaa mwenyewe uliyemuelezea.Nikuulize;Ni lini CCM waliwahi kukubali hoja za wakinzani wao hadharani?Na wao ni vichaa?
Unaona shida yako ilipo? Umeanza kuleta hoja za upinzani,,,bahati mbaya mtu akiwa na shida mahala ni ngumu sana kujitambua
 
Hivi mtu mmoja anaweza kuwa mpinzani bila kuwa na mpinzani ili waitwe wapinzani?Kwa hiyo kila upande ni mpinzani wa mpinzani wake,siyo?
NB;Ubishi au kutokubaliana na jambo siyo tatizo.Ni njia ya kuupata ukweli. Put it unto your empty account.
 
Baadhi ya dalili za tatizo la afya ya akili yanaweza kujumuisha:

1. Mabadiliko ya hali ya kiakili na kihisia:
- Huzuni, wasiwasi, hofu, hasira na hisia nyingine zinazogharimu.
- Mabadiliko ya hali ya moyo na hali ya kunyanyasika.
- Kuchanganyikiwa, kukosa uwezo wa kufikiri waziwazi, au kukosa umakini.

2. Mabadiliko ya tabia na mienendo:
- Kukaa kimya na kujitenga na watu.
- Mabadiliko ya tabia za kila siku, kama vile kulala au kula kupita kiasi.
- Mabadiliko ya mienendo, kama vile kutokuwa na hamu ya kushiriki katika shughuli zilizozoeleka.

3. Mabadiliko ya mwili na afya:
- Maumivu ya kichwa, maumivu katika sehemu mbalimbali za mwili.
- Mabadiliko ya uzito, kama kupungua au kuongezeka.
- Matatizo ya kulala, kama kulala muda mrefu au kukosa usingizi.

4. Matatizo ya kazi na mahusiano:
- Kushindwa kufanya kazi au shughuli za kawaida.
- Matatizo katika mahusiano na watu wengine, kama familia na marafiki.
- Kushindwa kutimiza majukumu na wajibu.

5. Kujidhuru au kujiua:
- Mawazo ya kujidhuru au kujiua.
- Hali ya kuwaza au kujaribu kujiua.

Ni muhimu kutambua kuwa dalili hizi zinaweza kutofautiana kwa kila mtu na pia kuwa na viwango tofauti ya ukali. Inapaswa kutembelewa na mtaalamu wa afya ya akili ili kupata ushauri na matibabu yanayofaa.
Nimeipenda hii
 
Je kutokana na maelezo yako, huoni huyo mtu hayupo sawa mahala?

Katika mada yangu kuna baadhi ya mambo yamesemwa na wataalamu wa mirembe,,ikiwemo kupinga kila kitu,furaha ya kupitiliza,matumizi yasiyo ya kawaida
Mental ill, furaha kipotiliza na matumizi yasio ya kawaida ni dalili za bipolar sio ugonjwa uliokamilika
 
Hivi mtu mmoja anaweza kuwa mpinzani bila kuwa na mpinzani ili waitwe wapinzani?Kwa hiyo kila upande ni mpinzani wa mpinzani wake,siyo?
NB;Ubishi au kutokubaliana na jambo siyo tatizo.Ni njia ya kuupata ukweli. Put it unto your empty account.
Upo sahihi kabisa chief

Nielewe vizuri sipingi upinzani kwakuwa upinzani unafaida nyingi tu,,,ishu hapa ni kupinga uhalisia wa mambo ndio shida inaanzia hapo.

Mathalani je ni kweli serikali yetu haijafanya mambo mema kabisa ? Au haijafanya mambo ya maendeleo kabisa?

Kama mpinzani haoni jema lolote basi ujue ana tatizo mahala,na ndio hao ninao wazungumzia hapa
 
Back
Top Bottom