Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
KABISA MKUUHiyo ni hatua mbaya mnooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KABISA MKUUHiyo ni hatua mbaya mnooo
Unahukumu wote kwa kosa la mmoja je za hospital haziui figoHizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
Hivi kuna mtu kashawahi kupata tiba toka kwako akaja humu kutoa ushuhuda japo kidogo tuone ulimsaidiaje maana mwisho siku atuoni mtu kila siku wasema watibuAcha kusema kisukari hakina Tiba. Hakuna ugonjwa usiokuwa na tiba Hata ukimwi unao tiba yake kama hujuwi wewe kuwa kisukari hakina tiba ni wewe mwenyewe. Mimi ninatibu kisukari, Kansa,Hepatiti Vidonda vya tumbo Ukimwi na Maradhi yote ya zinaa ukitaka nikutibu nitafute kwa wakati wako. Kisukari Ukimwi Vidonda vya Tumbo kansa Hepatiti b Virus kiharusi hakuna tiba Mahospitalini lakini kwa Waganga wa kienyeji dawa zipo na unatumia dawa na kupona kabisa maradhi yako.
mgonjwa yupo kwenye panic mode kaharisha siku nzima acha akosee tu mkuu... 🤣"parambanda" ni kitu gani?
Sasa hivi ongeza na madaktari wa mitamdaoni. Kisukari imekuwa ni dili na wengi wa hawa madaktari wa mchongo wanajaza matangazo yasiyokuwa na ukweli. Tahadhari kabla ya hatari.Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
Hii inatokana na mapambio yanayoimbwa wakati wa misiba. Parapanda italia kwa wale waliokwisha kufa na walio hao watanyakuliwa kwenda kumlaki Bwana Yesu mawinguni."parambanda" ni kitu gani?
Dawa za mitishamba ni hatari Kwa kuwa chemical composition yake haipo well knownHizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu