Baadhi ya Dawa za mitishamba ni hatari

Baadhi ya Dawa za mitishamba ni hatari

"Too much of anything is humful "
Kitu chochote kikizidi kiasi kinakua sumu. Hata maji tu ukinywa kupita kiasi yanakuuwa
 
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
Unahukumu wote kwa kosa la mmoja je za hospital haziui figo
 
Acha kusema kisukari hakina Tiba. Hakuna ugonjwa usiokuwa na tiba Hata ukimwi unao tiba yake kama hujuwi wewe kuwa kisukari hakina tiba ni wewe mwenyewe. Mimi ninatibu kisukari, Kansa,Hepatiti Vidonda vya tumbo Ukimwi na Maradhi yote ya zinaa ukitaka nikutibu nitafute kwa wakati wako. Kisukari Ukimwi Vidonda vya Tumbo kansa Hepatiti b Virus kiharusi hakuna tiba Mahospitalini lakini kwa Waganga wa kienyeji dawa zipo na unatumia dawa na kupona kabisa maradhi yako.
Hivi kuna mtu kashawahi kupata tiba toka kwako akaja humu kutoa ushuhuda japo kidogo tuone ulimsaidiaje maana mwisho siku atuoni mtu kila siku wasema watibu
 
Ni dawa nzuri ila tatizo ni vipimo, wauzaji hawana elimu, ni elimu ya kukariri tu.
 
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
Sasa hivi ongeza na madaktari wa mitamdaoni. Kisukari imekuwa ni dili na wengi wa hawa madaktari wa mchongo wanajaza matangazo yasiyokuwa na ukweli. Tahadhari kabla ya hatari.
 
Dawa za mitishamba ni nzuri ila akikuambia kunywa vijiko viwili kunywa kimoja akisema kunywa kimoja wewe kunywa nusu dawa huwa ni kali sana japo zinasaidia
 
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio kuwahi hospital parambanda ungekuta imeshalia , nilitundikiwa drip 5 na dawa za kufunga kuharisha, ugonjwa niliokuwa napambana nao ni Kisukari . Wale wanaojiita mizizi mibich na bei zao za mamilioni ni matapeli , mbaya zaidi wanakuambia acha dawa zako za hospitals, Msitumie hizi matakataka ya kienyeji mtakuja kuua FIGO zenu
Dawa za mitishamba ni hatari Kwa kuwa chemical composition yake haipo well known
 
Back
Top Bottom