nimejiuliza hilo swali!jibu nililopata huyu dogo mwanzisha uzi atakuwa mshkaki tu....maana kama diamond alivua cheni zake chumbani basi uwezekano wa kuwa uchi ni 100%....yupo room kwa mwanaume mwenzake aliyekuwa uchi tena kwa sisi wataalamu wa picha tukiangalia hiyo picha japo haijawekwa muda lakini tunatambua ilikuwa usiku wa manane,na ili mpigaji ili apate angle nzuri ya kupiga picha lazima ainame namba saba ili picha itoke kama ilivyo,na ukiangalia vizuri hapo chini kuna chupi imevuliwa tena ya kiume