Baadhi ya dhahabu anazovaa Diamond shingoni na mkononi

Baadhi ya dhahabu anazovaa Diamond shingoni na mkononi

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
chains&saaa.jpgdiamond akijiandaa kwenda kwenye show,nairobi.jpg
source mimi mwenyewe
niniliepiga picha eka hotel-kenya
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea unajua vitu Vingi sana anavyovaa diamond...
 
Sijawahi kumsikia Mizengo Pinda akimsifia Jk kwa kila jambo analolifanya,ama Mourinho kumsifia Abramovic anayempa mshahara mnono kiasi hiki..Huyu jamaa anamsifia Diamond kuliko hata Wema ambaye ni bwana wake...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Chumbani kwake mtoto wa kiume ulienda fata nini
 
hapa unawaandaa/watonya wachimba makaburi..................
 
ukiona manyoyaaaaa........................
 
Chumbani kwake mtoto wa kiume ulienda fata nini

nimejiuliza hilo swali!jibu nililopata huyu dogo mwanzisha uzi atakuwa mshkaki tu....maana kama diamond alivua cheni zake chumbani basi uwezekano wa kuwa uchi ni 100%....yupo room kwa mwanaume mwenzake aliyekuwa uchi tena kwa sisi wataalamu wa picha tukiangalia hiyo picha japo haijawekwa muda lakini tunatambua ilikuwa usiku wa manane,na ili mpigaji ili apate angle nzuri ya kupiga picha lazima ainame namba saba ili picha itoke kama ilivyo,na ukiangalia vizuri hapo chini kuna chupi imevuliwa tena ya kiume
 
View attachment 135384View attachment 135385
source mimi mwenyewe
niniliepiga picha eka hotel-kenya

ila diamond hakuwaga mweupe kiasi hiki!

kajipodoa mno kijana wetu..!

mmh.. sasa sijui ananishije dar hii na mikorogo!

hebu mcheki hapa alivyopiga hii picha na hawa madada simple minds!

diamond-linah-recho.jpg

jamaa kwa kweli rangi ya uso mpaka kifua ni tofauti na ile ya miguu kama ume-observe hilo!

bora tu angeuacha weusi wake halisi tukamwelewa!
 
nimejiuliza hilo swali!jibu nililopata huyu dogo mwanzisha uzi atakuwa mshkaki tu....maana kama diamond alivua cheni zake chumbani basi uwezekano wa kuwa uchi ni 100%....yupo room kwa mwanaume mwenzake aliyekuwa uchi tena kwa sisi wataalamu wa picha tukiangalia hiyo picha japo haijawekwa muda lakini tunatambua ilikuwa usiku wa manane,na ili mpigaji ili apate angle nzuri ya kupiga picha lazima ainame namba saba ili picha itoke kama ilivyo,na ukiangalia vizuri hapo chini kuna chupi imevuliwa tena ya kiume

watanzania ndivyo mlivo
..hapo ni juzi diamond akiwa hotelin kenya..
Sa 1 akijiandaa kwenda stejini..
Na hapo kuna videographer wawili
na mtu anayempangia mavazi ya kuvaaa...hayo unayoyasema yanatokea wapi..
Wivu tu wa kijinga
 
Back
Top Bottom