heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamme havai dhahabu.....zina athari zake hizo shauri yake
Mwanamme havai dhahabu.....zina athari zake hizo shauri yake
Chumbani kwake mtoto wa kiume ulienda fata nini
nimejiuliza hilo swali!jibu nililopata huyu dogo mwanzisha uzi atakuwa mshkaki tu....maana kama diamond alivua cheni zake chumbani basi uwezekano wa kuwa uchi ni 100%....yupo room kwa mwanaume mwenzake aliyekuwa uchi tena kwa sisi wataalamu wa picha tukiangalia hiyo picha japo haijawekwa muda lakini tunatambua ilikuwa usiku wa manane,na ili mpigaji ili apate angle nzuri ya kupiga picha lazima ainame namba saba ili picha itoke kama ilivyo,na ukiangalia vizuri hapo chini kuna chupi imevuliwa tena ya kiume