Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu kwema.
Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika.
Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha usafiri. Kukaa ndani na kuendesha lazima uwe comfortable, wewe na abiria wako msishuke "mmechoka".
Sasa kuna baadhi (sio zote lazima ziwepo kwenye gari moja) ya features ambazo unaweza pia kuzizingatia next time unavoagiza chuma:
1. Start-Stop system
Hii ni Teknolojia ya gari kujizima ukiwa kwenye foleni au umesimama huku gear bado ipo D.
Lengo kuu likiwa ni kupunguza matumizi ya mafuta na emissions kwenye mazingira.
2. Cruise Control
Hii ni feature ambayo inakusaidia dereva kuset speed flani kisha unaachia mguu kwenye accelerator ila gari lita maintain iyo speed uliyoset constant.
Zimekua advanced siku hizi kuna Adaptive Cruise Control ambazo zenyewe zitapunguza speed au hadi kusimama kama mbele kuna gari, ukuta au kitu chochote.
3. Heads up Display
Hii ni Feature ambayo inamsaidia dereva kuendesha gari bila kutoa macho mbele na kuangalia dashboard kwasababu inaleta information zote za muhimu mfano speed, kwenye kioo cha mbele kwa mtindo wa projection.
Magari mengi sana sahivi yana izo features.
4. Android Auto & Apple Car Play
Hii ni feature ya kwenye infotainment ya gari lako, ambapo itakua inaunganisha simu yako ya Android au iPhone na gari lako pindi tu utakapoingia kwenye gari.
Ila inamaanisha ukiwa na mke wako mfano anaweza akasoma msg za simu yako kwenye screen au mtu akipiga anaona "Fundi Bomba ❤️❤️❤️" anapiga. Kazi kwako. Ila pia utakua na access ya App za muhimu mfano Google Map ambayo ni ya msaada sana kwa madereva.
5. Reverse Camera & Parking Sensors
Hii feature inasaidia wakati wa kurudi reverse, unakua unaona kwa nyuma na sensors zitasaidia kupiga alarm unavyotaka kugonga kitu wakati wa reverse au ata kwenda mbele.
Hizi ni za muhimu sana ila pia unaweza kuziweka aftermarket kwa gari lolote.
Nimeona nitaje izo tu tano (5) kwa maelezo kidogo ila tunaweza ongeza hizi tano nyingine ambazo sio za muhimu sana:
6. Automatic Doors Lock (Walk Away Locking System) & Keyless Entry
7. Automatic Wipers Sensors & Headlights adjustment
8. Lane Departure (Lane Assist ) & Blind Spot Monitoring system
9. Automatic Emergency Braking (hii inaweza kwenda na Cruise Control pale juu)
10. AC vents kwenye seats za nyuma.
Kila mtu ana features anazozipenda na mwingine anaweza asizipende kabisa. Ila angalau chache zinaweza kuongeza driving experience yako.
Pamoja